MBUNGE UKAWA AZUIA BOMOABOMOA DAR
*Mahakama kuu yaipiga ‘stop’ serikali
Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
MBUNGE wa Jimbo la Kinondoni, Maulid Mtulia (CUF), pamoja na wenzake wamefanikiwa kuwaokoa wananchi waliokuwa katika simanzi, baada ya Mahahakama Kuu Kitengo cha Ardhi kuzuia bomoabomoa ya nyumba.
Katika uamuzi huo uliotolewa jijini Dar es Salaam jana, mahakama hiyo imezuia kwa muda ubomoaji wa nyumba 681, zilizojengwa katika maeneo ya mabondeni katika Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Hatua hiyo imetokana na...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo28 Sep
Bulembo azuia Ukawa kutumia uwanja wa CCM
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Abdallah Bulembo amepiga marufuku uwanja wa jumuiya hiyo uliopo eneo la Milango Kumi wilayani Kahama mkoani Shinyanga kutumika kwa mikutano ya kampeni za siasa kwa vyama vinavyounda umoja wa Ukawa kwani uwanja huo ni rasilimali ya wanaCCM.
9 years ago
Global Publishers04 Jan
Mbunge wa Kinondoni Atinga Kortini Kupinga Bomoabomoa Jimboni Kwake
![mtulia](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2016/01/mtulia.jpg)
![BOMOA (11)](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/12/BOMOA-11.jpg)
10 years ago
Mtanzania22 Jan
JK azuia mawaziri kutoka nje ya Dar
Na Bakari Kimwanga, Dar es Salaam
MAWAZIRI wote wamezuiwa kusafiri kikazi nje ya Jiji la Dar es Salaam kutokana na kile kinachoelezwa ni maandalizi ya kukabidhi ofisi kwa mawaziri wapya ambao wanatarajiwa kutangazwa wakati wowote kuanzia sasa.
Taarifa hizo zimekuja siku moja tu tangu Ikulu kupitia kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Salvatory Rweyemamu, kuwataka Watanzania kuwa na subira kwa kuwa Rais Jakaya Kikwete wakati wowote kuanzia sasa atatoa uamuzi dhidi ya tuhuma...
9 years ago
BBCSwahili06 Jan
Bomoabomoa yaendelea kutikisa Dar
9 years ago
Mwananchi31 Dec
Mabomu yarindima bomoabomoa Dar
9 years ago
Mtanzania07 Jan
Bomoabomoa kuendelea leo Dar
Na Grace Shitundu, Dar es Salaam
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limesema kazi ya ubomoaji nyumba zilizoko katika Bonde la Mto Msimbazi itaendelea leo katika maeneo ambayo hayako kwenye zuio lililotolewa na Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi.
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mkuu wa NEMC, Bonaventure Baya, alisema zuio lililopo mahakamani linahusu nyumba 681 tu, hivyo wataendelea na kazi katika maeneo yote...
9 years ago
Mwananchi18 Nov
Bomoabomoa kubwa yaja Dar
9 years ago
Habarileo19 Nov
Bomoabomoa Dar yashika kasi
WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakishirikiana na Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, jana iliendesha bomoabomoa ya nyumba zilizojengwa bila kufuata taratibu za ujenzi katika Manispaa hiyo.
11 years ago
Habarileo15 Feb
Bomoabomoa kabambe Dar es Salaam
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka ametangaza kuanza kwa bomoabomoa mpya kwa waliojenga katika maeneo ya wazi. Alisema hayo jana wakati anafungua semina ya wahariri wa vyombo vya habari kuhusu sera na sheria ya ardhi na changamoto za wizara yake.