Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kimiti awatetea Ukawa lakini...

Mjumbe wa Bunge la Katiba, Paul Kimiti amewataka wajumbe wa Bunge hilo kuacha kuwabeza wanachama wa Kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kwa kuwa ni kati ya watu muhimu wanaohitajika katika kutengeneza Katiba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Hongera ukawa, lakini kaeni chonjo

OKTOBA 26, mwaka huu, vyama vinne vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) vimeweka historia kwa kusaini makubaliano yatakayotumiwa na vyama vyao kutimiza malengo yao kisiasa. Umoja huo...

 

10 years ago

Mwananchi

Ukawa safi, lakini huu ni mwisho wa CUF, NCCR

>Tangu Februari mwaka 2014, siasa za Tanzania zimekuwa na mwelekeo chanya kwa vyama vya upinzani kushirikiana, tofauti na  wakati wowote tangu mfumo wa vyama vingi uanzishwe nchini.

 

11 years ago

KwanzaJamii

Kimiti: Tuna tatizo la uongozi

Dodoma. Waziri wa zamani na mwanasiasa wa siku nyingi nchini, Paul Kimiti (74) amesema nchi inakabiliwa na tatizo la uongozi na utendaji serikalini kiasi cha watu wanaoharibu kazi kutochukuliwa hatua. Kimiti, ambaye amewahi kuongoza wizara tofauti tangu mwaka 1982, alisifu Serikali ya Awamu ya Kwanza akisema ilikuwa na wasaidizi makini wa Rais ambao walijua mambo mengi na kumfikishia mkuu wa nchi ambaye pia alifanyia kazi taarifa hizo. Katika mahojiano maalumu na Mwananchi, mwanasiasa...

 

11 years ago

GPL

LULU AWATETEA MABOSI WAKWARE

Stori: Gabriel Ng’osha
STAA wa filamu ya Foolish Age, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewatetea mabosi wa wasanii akidai si wote wana tabia ya ‘kuduu’ na wafanyakazi wao. Staa wa filamu ya Foolish Age, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Akijibu swali aliloulizwa na paparazi wetu kuhusiana na mabosi wakware, Lulu alitiririka:
“Imezoeleka kuwa mabosi wote hawawezi kufanya kazi na msanii...

 

11 years ago

Mwananchi

Maximo awatetea Coutinho, Jaja

Kocha wa Yanga, Marcio Maximo amewatetea nyota wake wawili kutoka Brazil, Andrey Coutinho, Santos Santana ‘Jaja’ kwa kusema ni wachezaji wazuri, na kama mnataka taarifa zao nendeni kwenye mtandao wa You Tube, mtaziona.

 

11 years ago

Mwananchi

Hakuna kama Sokoine- Kimiti

Leo Watanzania wanaadhimisha miaka 30 tangu kifo cha Edward Moringe Sokoine, ambaye alikuwa Waziri Mkuu wa Tanzania.

 

10 years ago

TheCitizen

POLITICAL COVER: Kimiti to Nyerere: Ikulu is too hot a seat for me

>Paul Kimiti, the man who was nicknamed ‘Senator’ by his fellow members of parliament is one of the few legislators who willingly retired from politics.

 

9 years ago

Bongo5

Oprah awatetea The Kardashians, asema watu wasidharau wanachokifanya wakidhani ni rahisi

1447091589_oprah-lg

Kwa macho ya watu wengi, The Kardashians ni watu waliopata umaarufu na utajiri kwa njia za mkato.

1447091589_oprah-lg

Oprah Winfrey ana mtazamo tofauti. Mtangazaji huyo maarufu wa TV na mwanamke mweusi tajiri zaidi duniani, amedai kuwa The Kardashians ni watu wanaofanya kazi kwa bidii na kujituma kuliko kawaida.

khloe-kourtney-kim-kris-kylie-lg

Akiongea kwenye kipindi cha Kyle and Jackie O Show cha KIIS FM nchini Australia, Jumatatu hii, Oprah alisema aliitembelea familia hiyo na kushangazwa na nidhamu yao ya kazi.

“Niliwahoji miaka miwili...

 

10 years ago

Michuzi

MBOWE:TUTAAKIKISHA KILA MWANANCHI AMEJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA MPIGA KURA LAKINI KWA UPANDE WA KATIBA MSIMAMO WETU KAMA UKAWA UKO PALE PALE WA KUTOSHIRIKI

Mwenyekiti wa Chadema Freman Mbowe akiwa anasoma utuba wakati wa ufunguzi wa mkutano wa viongozi wa  chama hicho wa kanda ya kaskazini unaofanyika leo katika  hotel ya new Arusha jijini hapaviongizo wa chadema  akiwemo mwenyekiti wakiwa wanasali kwanza kabla ya mkutano wa viongozi wa kanda ya kaskazini kuanza Naibu katibu mkuu wa Chadema Salum Mwalimu akiwa anaongea na waandishi wa habari Na Woinde Shizza
MWENYEKITI wa chama cha demokrasi na maendeleo Chadema Freeman Mbowe amesema kuwa  chama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani