Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LULU AWATETEA MABOSI WAKWARE

Stori: Gabriel Ng’osha
STAA wa filamu ya Foolish Age, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewatetea mabosi wa wasanii akidai si wote wana tabia ya ‘kuduu’ na wafanyakazi wao. Staa wa filamu ya Foolish Age, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Akijibu swali aliloulizwa na paparazi wetu kuhusiana na mabosi wakware, Lulu alitiririka:
“Imezoeleka kuwa mabosi wote hawawezi kufanya kazi na msanii...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Maximo awatetea Coutinho, Jaja

Kocha wa Yanga, Marcio Maximo amewatetea nyota wake wawili kutoka Brazil, Andrey Coutinho, Santos Santana ‘Jaja’ kwa kusema ni wachezaji wazuri, na kama mnataka taarifa zao nendeni kwenye mtandao wa You Tube, mtaziona.

 

11 years ago

Mwananchi

Kimiti awatetea Ukawa lakini...

Mjumbe wa Bunge la Katiba, Paul Kimiti amewataka wajumbe wa Bunge hilo kuacha kuwabeza wanachama wa Kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kwa kuwa ni kati ya watu muhimu wanaohitajika katika kutengeneza Katiba.

 

11 years ago

GPL

MAYA ALIA NA WANAUME WAKWARE

Stori: Erick Evarist MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amefunguka kuwa anashindwa kufikiria suala zima la ndoa kwani wanaume wengi ni waongo ‘wakware’. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’. Akipiga stori na safu hii, Maya alisema umefika wakati hata ndoa zenyewe zinakuwa chache kwani uaminifu haupo ndiyo maana amekuwa makini  katika eneo hilo....

 

10 years ago

Bongo Movies

Leila Alia na Wakware Bongo Movie!

Mrembo na mwigizaji wa filamu za hapa Bongo maarufu kama Bongo Movies,  Jennifer Ernest ‘Leila’ amefunguka kwa kusema kuwa rushwa ya ngono na dhuluma katika tasnia ya Filamu inaua vipaji halisi na kubaki wababaishaji wanaopewa nafasi kwa ajili ya kujitoa sadaka ya miili yao.

Leila anasema kuwa watayarishaji wengi wamekuwa wakitolea muswada (Script) katika mahoteli au nyumba za kulala wageni na waopewa ni wale wanaokidhi matakwa yao, lakini mbaya zaidi ni wasanii kuchezeshwa kwa mikopo...

 

11 years ago

Mwananchi

Wanafunzi wa kike wanavyoangukia kwenye mikono ya wanaume wakware

Picha hizi zinatoa ushuhuda wa vikwazo wanavyokumbana navyo wanafunzi wa kike wakiwa njiani kwenda au kurudi shule.

 

9 years ago

Bongo5

Oprah awatetea The Kardashians, asema watu wasidharau wanachokifanya wakidhani ni rahisi

1447091589_oprah-lg

Kwa macho ya watu wengi, The Kardashians ni watu waliopata umaarufu na utajiri kwa njia za mkato.

1447091589_oprah-lg

Oprah Winfrey ana mtazamo tofauti. Mtangazaji huyo maarufu wa TV na mwanamke mweusi tajiri zaidi duniani, amedai kuwa The Kardashians ni watu wanaofanya kazi kwa bidii na kujituma kuliko kawaida.

khloe-kourtney-kim-kris-kylie-lg

Akiongea kwenye kipindi cha Kyle and Jackie O Show cha KIIS FM nchini Australia, Jumatatu hii, Oprah alisema aliitembelea familia hiyo na kushangazwa na nidhamu yao ya kazi.

“Niliwahoji miaka miwili...

 

9 years ago

Mwananchi

Kimbunga chawakumba mabosi TPA, TRL

Rais John Magufuli ametengua uteuzi na kumsimamisha kazi ya utumishi wa umma, Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dk Shaaban Mwinjaka kwa kushindwa kusimamia uwajibikaji katika Mamlaka ya Bandari nchini (TPA) na Kampuni ya Reli (TRL).

 

9 years ago

Habarileo

Mabosi wa uchaguzi TFF, DRFA kuteta

KAMATI ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) chini ya Mwenyekiti wake Aloyce Komba, inatarajia kukutana na Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Chama cha Soka Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA), Rashid Sadallah kuzungumzia mambo mbalimbali kuhusu uchaguzi wa Chama cha Soka Temeke (TEFA).

 

11 years ago

Habarileo

Mabosi TBS, ATCL wakaangwa kortini

Mahakama ya Hakimu Mkazi KisutuMABOSI wa zamani wa mashirika ya umma, Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), jana walipanda kizimbani kujibu mashitaka yanayowakabili kutokana na uamuzi waliofanya walipokuwa wakiongoza mashirika hayo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani