Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kimbunga chawakumba mabosi TPA, TRL

Rais John Magufuli ametengua uteuzi na kumsimamisha kazi ya utumishi wa umma, Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dk Shaaban Mwinjaka kwa kushindwa kusimamia uwajibikaji katika Mamlaka ya Bandari nchini (TPA) na Kampuni ya Reli (TRL).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Kimbunga cha ubunge chawakumba vigogo CUF

Adam Mkwepu na Michael Sarungi Dar es Salaam
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) wa wilaya za Kinondoni, Temeke na Ilala wamefanya uchaguzi wa kura za maoni na kuwapata wawakilishi wao katika uchaguzi ujao katika nafasi za ubunge wa majimbo na viti maalumu Mkoa wa Dar es Salaam.
Mmikutano hiyo ya kura za maoni imeacha vilio kwa vigogo wa chama hicho, akiwamo Naibu Mkurugenzi wa Habari na Uenezi, Abdul Kambaya aliyejikuta akibwagwa na Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Vijana wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Sitta ‘atimua’ vigogo TRL, amhamisha Kipande TPA

Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta amemsimamisha kazi kwa muda mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya Reli (TRL), Kipallo Kisamfu na watumishi wengine wanne baada ya ripoti ya uchunguzi kuwahusisha na sakata la ununuzi wa mabehewa mabovu 274 na kulisababishia shirika hasara ya Sh230 bilioni.

 

11 years ago

GPL

LULU AWATETEA MABOSI WAKWARE

Stori: Gabriel Ng’osha
STAA wa filamu ya Foolish Age, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewatetea mabosi wa wasanii akidai si wote wana tabia ya ‘kuduu’ na wafanyakazi wao. Staa wa filamu ya Foolish Age, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Akijibu swali aliloulizwa na paparazi wetu kuhusiana na mabosi wakware, Lulu alitiririka:
“Imezoeleka kuwa mabosi wote hawawezi kufanya kazi na msanii...

 

9 years ago

Habarileo

Mabosi wa uchaguzi TFF, DRFA kuteta

KAMATI ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) chini ya Mwenyekiti wake Aloyce Komba, inatarajia kukutana na Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Chama cha Soka Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA), Rashid Sadallah kuzungumzia mambo mbalimbali kuhusu uchaguzi wa Chama cha Soka Temeke (TEFA).

 

11 years ago

Habarileo

Mabosi TBS, ATCL wakaangwa kortini

Mahakama ya Hakimu Mkazi KisutuMABOSI wa zamani wa mashirika ya umma, Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), jana walipanda kizimbani kujibu mashitaka yanayowakabili kutokana na uamuzi waliofanya walipokuwa wakiongoza mashirika hayo.

 

10 years ago

Habarileo

Mabosi kiwanda cha nondo mbaroni Dar

MAMLAKA ya Maji safi na Maji taka Dar es Salaam (Dawasco) imekamata mifuniko ya majitaka katika kiwanda cha nondo cha Iron & Steel cha jijini Dar es Salaam ikiwa ni hatua mojawapo za kuzuia uhujumu wa miundombinu ya majisafi na wizi wa maji.

 

10 years ago

GPL

MABOSI LAKE OIL WADAIWA KUMVUA NGUO MFANYAKAZI

Mfanyakazi wa kampuni ya mafuta ya Lake Oil, Deocres Deus Ruta (32) anayedai kunyanyanswa na mabosi zake. Stori:Makongoro Oging’
Baadhi ya vigogo wa kampuni ya mafuta ya Lake Oil wanadaiwa kumvua nguo mfanyakazi wao Deocres Deus Ruta (32) (pichani)ambaye ni dereva wao pia vijana wawili ambao siyo wafanyakazi wa kampuni hiyo. Akizungumza katika ofisi za gazeti hili mwishoni mwa wiki iliyopita Ruta alidai kwamba Desemba...

 

10 years ago

Mwananchi

Thierry Henry, Pires, mabosi Arsenal kutua Tanzania

Uongozi wa Arsenal jana umeanza mazungumzo rasmi na kampuni 20 nchini kwa lengo la kufungua uhusiano wa kibiashara, lakini katika mpango huo makocha wa timu hiyo na baadhi ya nyota waliowahi kutamba watapata fursa ya kutembelea Tanzania.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani