Kimbunga cha ubunge chawakumba vigogo CUF
Adam Mkwepu na Michael Sarungi Dar es Salaam
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) wa wilaya za Kinondoni, Temeke na Ilala wamefanya uchaguzi wa kura za maoni na kuwapata wawakilishi wao katika uchaguzi ujao katika nafasi za ubunge wa majimbo na viti maalumu Mkoa wa Dar es Salaam.
Mmikutano hiyo ya kura za maoni imeacha vilio kwa vigogo wa chama hicho, akiwamo Naibu Mkurugenzi wa Habari na Uenezi, Abdul Kambaya aliyejikuta akibwagwa na Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Vijana wa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi08 Dec
Kimbunga chawakumba mabosi TPA, TRL
10 years ago
Mtanzania18 May
Vigogo CUF waanguka ubunge
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
MATOKEO ya awali ya kura za maoni kwa wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) wanaowania Ubunge na Uwakilishi yameanza kutoka huku majina mapya yakichomoza kwa kupata ushindi dhidi ya wabunge wanaotetea nafasi zao.
Kwa mujibu wa matokeo ya awali yaliyopatikana mjini Unguja jana, Mbunge wa Gando, Khalifa Suleiman Khalifa (CUF), amebwagwa katika kura za maoni kwa kupata kura 81 dhidi ya Othman Omar Haji ambaye alipata kura 95 na Suleiman Salim Shukuru akiambulia kura...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-AL-n5SYWKfk/XtyBrBqsscI/AAAAAAALs3s/HBO-Lpfffe8L2Vei490BUtbFyosygFbsACLcBGAsYHQ/s72-c/92a9364d-a999-4636-8398-0a1c62b8edb3%25281%2529.jpg)
CCM YAVUNA VIGOGO CUF NA ACT WAZALENDO
![](https://1.bp.blogspot.com/-AL-n5SYWKfk/XtyBrBqsscI/AAAAAAALs3s/HBO-Lpfffe8L2Vei490BUtbFyosygFbsACLcBGAsYHQ/s640/92a9364d-a999-4636-8398-0a1c62b8edb3%25281%2529.jpg)
"Nikiwa na...
10 years ago
Habarileo20 Jul
Vigogo wa urais CCM wageukia ubunge
WIKI moja baada ya CCM kumteua Waziri wa Ujenzi, Dk John Pombe Magufuli kuwa mgombea wake wa urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu, idadi kubwa ya washindani wake wamegeukia siasa za majimbo.
10 years ago
Raia Mwema29 Jul
Vigogo waelemewa vita ya ubunge Arusha, Manyara
WAKATI kampeni za kuwania nafasi ya ubunge katika majimbo mbalimbali nchini kupitia Chama Cha Map
Paul Sarwatt
10 years ago
Habarileo11 Mar
CUF yafunga pazia la ubunge
CHAMA cha Wananchi (CUF) jana kilihitimisha zoezi la uchukuaji fomu za kuwania ubunge na udiwani.
9 years ago
Mwananchi01 Dec
Kimbunga cha Magufuli chatua Tazara
11 years ago
BBCSwahili09 Jul
'Kimbunga' cha mabao chapiga Brazil
9 years ago
Habarileo19 Sep
Mgombea ubunge wa CUF ahamia CCM
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimepasuka wilayani Mafia, mkoani Pwani, baada ya aliyeidhinishwa kugombea ubunge Mafia, Mohammed Albadawi, kuhama chama hicho na kujiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi (CCM).