Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vigogo waelemewa vita ya ubunge Arusha, Manyara

WAKATI kampeni za kuwania nafasi ya ubunge katika majimbo mbalimbali nchini kupitia Chama Cha Map

Paul Sarwatt

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Vigogo CUF waanguka ubunge

Rajab-Mohamed-Mbarouk-2MOHAMED HABIB  MNYAA-MBUNGE MKANYAGENI.masoudNa Mwandishi Wetu, Zanzibar
MATOKEO ya awali ya kura za maoni kwa wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) wanaowania Ubunge na Uwakilishi yameanza kutoka huku majina mapya yakichomoza kwa kupata ushindi dhidi ya wabunge wanaotetea nafasi zao.
Kwa mujibu wa matokeo ya awali yaliyopatikana mjini Unguja jana, Mbunge wa Gando, Khalifa Suleiman Khalifa (CUF), amebwagwa katika kura za maoni kwa kupata kura 81 dhidi ya Othman Omar Haji ambaye alipata kura 95 na Suleiman Salim Shukuru akiambulia kura...

 

10 years ago

Habarileo

Vigogo wa urais CCM wageukia ubunge

Profesa Sospeter Muhongo.WIKI moja baada ya CCM kumteua Waziri wa Ujenzi, Dk John Pombe Magufuli kuwa mgombea wake wa urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu, idadi kubwa ya washindani wake wamegeukia siasa za majimbo.

 

10 years ago

Mtanzania

Kimbunga cha ubunge chawakumba vigogo CUF

Adam Mkwepu na Michael Sarungi Dar es Salaam
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) wa wilaya za Kinondoni, Temeke na Ilala wamefanya uchaguzi wa kura za maoni na kuwapata wawakilishi wao katika uchaguzi ujao katika nafasi za ubunge wa majimbo na viti maalumu Mkoa wa Dar es Salaam.
Mmikutano hiyo ya kura za maoni imeacha vilio kwa vigogo wa chama hicho, akiwamo Naibu Mkurugenzi wa Habari na Uenezi, Abdul Kambaya aliyejikuta akibwagwa na Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Vijana wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vipaji nilivyojionea Arusha vs Manyara

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) chini ya Rais wake, Jamal Malinzi, limekuwa katika mikakati mbalimbali ya kuboresha kikosi cha timu ya soka, Taifa Stars, kwa lengo la kukijengea uwezo wa...

 

10 years ago

Michuzi

KAMISHNA WA SENSA ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KITETO MKOANI MANYARA

Kamishna wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 Hajjat Amina Mrisho Said akisisitiza jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari leo kuhusu nia yake ya kugombea nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Kiteto lililoko mkoani Manyara kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kulia kwake ni mume wake Alhajj Abeid Omary Khamis. baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Kamishna wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 Hajjat Amina Mrisho Said wakati akitangaza nia yake ya kugombea nafasi ya Ubunge...

 

11 years ago

Tanzania Daima

UVCCM wakuza vita ya ubunge

MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa (UVCCM), Sadifa Juma Khamis, amemtaka kamanda wa umoja huo Kata ya Kimanga, Scolastica Kevela kuendelea na kazi zake za kujenga chama...

 

11 years ago

Mwananchi

Vigogo Uhasibu Arusha kizimbani

>Vigogo 11 akiwamo Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha (AA), Profesa Johannes Monyo, wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha jana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), kwa kosa la uhujumu uchumi na kuisababishia hasara serikali.

 

10 years ago

Mwananchi

Vita kali ya ubunge CCM, Chadema

>Baada ya mchakato wa kuwania urais, sasa vita ya Uchaguzi Mkuu imehamia kwenye ubunge na udiwani hasa kutoka katika vyama vikubwa vya CCM kinachotawala na Chadema kinachoongoza upinzani.

 

10 years ago

Mtanzania

Vigogo CCM Arusha watimkia Chadema

IMG_20150809_114435NA ELIYA MBONEA, ARUSHA

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha, Onesmo Ole Nangole na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Mkoa huo, Isack Joseph, wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha  Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

Ole Nangole na Joseph walifikia uamuzi huo jijini hapa jana na kusema kwa nyakati tofauti wamelazimika kuchukua uamuzi huo kwa kuwa utaratibu wa kumpata mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ulikiukwa.

Kwa mujibu wa wana CCM hao, wakati wa mchakato...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani