Kimbunga cha Magufuli chatua Tazara
Msajili wa Hazina, Lawrence Mafuru amezitaka taasisi na mashirika ya umma nchini kuacha utegemezi kwa Serikali, badala yake kupunguza matumizi na wafanyakazi ili kuongeza mapato na ufanisi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili24 Sep
Chombo cha India chatua Mars
11 years ago
BBCSwahili09 Jul
'Kimbunga' cha mabao chapiga Brazil
10 years ago
Mtanzania22 May
Kimbunga cha ubunge chawakumba vigogo CUF
Adam Mkwepu na Michael Sarungi Dar es Salaam
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) wa wilaya za Kinondoni, Temeke na Ilala wamefanya uchaguzi wa kura za maoni na kuwapata wawakilishi wao katika uchaguzi ujao katika nafasi za ubunge wa majimbo na viti maalumu Mkoa wa Dar es Salaam.
Mmikutano hiyo ya kura za maoni imeacha vilio kwa vigogo wa chama hicho, akiwamo Naibu Mkurugenzi wa Habari na Uenezi, Abdul Kambaya aliyejikuta akibwagwa na Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Vijana wa...
11 years ago
Michuzi02 Apr
10 years ago
GPLKIMBUNGA CHA KINANA CHAWAZOA KATIBU WA CHADEMA NA WAFUASI WAKE 26 NYOLOLO, MUFINDI
10 years ago
VijimamboKAYA 25 ZILIZOATHIRIWA NA KIMBUNGA CHA UPEPO MKALI KILICHOAMBATANA NA MVUA ZAPEWA MSAADA MKOANI MBEYA
11 years ago
GPL![](https://4.bp.blogspot.com/-x-Ioa5sKiHk/Uy7iOwuEGxI/AAAAAAAAkyw/fkkFh9JAEI8/s1600/gz1.jpg)
RIDHIWANI ASHUHUDIA SHULE ILIYOEZULIWA PAA NA KIMBUNGA KATIKA KIJIJI CHA KIKWAZU, AAHIDI KUSAIDIA KUIBORESHA TENA
9 years ago
Mtanzania18 Aug
Kipindupindu chatua Dar
NA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM
UGONJWA wa kipindupindu umelipuka tena Dar es Salaam na kusababisha watu kadhaa kulazwa katika hospitali mbalimbali.
Wagonjwa hao wamelazwa katika hospitali za Sinza Palestina na Mwananyamala.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala, Dk. Sophinias Ngonyani, alisema wagonjwa waliothibitika kuwa na kipindupindu na kulazwa hospitalini hapo ni wawili.
Alisema wagonjwa hao ambao ni mwanamke na mwanaume wanatoka Tandale na...