Mabosi kiwanda cha nondo mbaroni Dar
MAMLAKA ya Maji safi na Maji taka Dar es Salaam (Dawasco) imekamata mifuniko ya majitaka katika kiwanda cha nondo cha Iron & Steel cha jijini Dar es Salaam ikiwa ni hatua mojawapo za kuzuia uhujumu wa miundombinu ya majisafi na wizi wa maji.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog18 Aug
Pinda afungua kiwanda cha Nondo cha Kamal Steel Limited
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikata utepe kuzindua upanzi wa kiwanda cha Kamal Steel LTD kilichopo Chng’ombe jijini Dar es salaam August 17, 2014. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa kamal Steel Limited, Gagan Kamal . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipata maelezo kutoka kwa mtaalamu wa viwango wa kiwanda cha nondo cha Kamal Steel Limited cha Chang’ombe jijini Dar es salaam, Bwana Jijo kuhusu upimaji ubora wa nondo unaofanywa kitaalamu katika kiwanda...
11 years ago
Habarileo20 Feb
Kiwanda cha bayogesi chazinduliwa Dar
KAMPUNI inayouza gesi katika Afrika Mashariki ya Simgas, jana ilizindua kiwanda chake cha kutengeneza baogesi kilichopo barabara ya Pugu katika Makao Makuu ya Kampuni mwenza ya Silafrica.
11 years ago
Mwananchi23 Jun
Kiwanda cha ‘Kichina’ chabainika Dar
11 years ago
Michuzi05 Aug
SIMBA WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL DAR
9 years ago
Mwananchi12 Nov
Wafanyakazi wa Kiwanda cha Urafiki Dar wagoma
10 years ago
MichuziMAOFISA WA JWTZ WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL DAR
11 years ago
MichuziUONGOZI WA TPSF WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL DAR