Mabosi TBS, ATCL wakaangwa kortini
MABOSI wa zamani wa mashirika ya umma, Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), jana walipanda kizimbani kujibu mashitaka yanayowakabili kutokana na uamuzi waliofanya walipokuwa wakiongoza mashirika hayo.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo21 Apr
Ukawa wakaangwa
HATUA ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutoka Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kukashifu Waasisi wa Muungano, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na Shekhe Abeid Amaan Karume, imezidi kubomoa vyama vinavyounda umoja huo kwa wananchi.
11 years ago
Mwananchi21 May
Wenye vyeti feki wakaangwa bungeni
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6Yi1*KCqJURCu8UDRCvAG96lI7aZoXOpVtB56ZJnOerYJ5TLS6upUpikECerxbELOCimGdH-zZqwNMMsXUZA-TzCMKaKVagu/lulu.jpg?width=650)
LULU AWATETEA MABOSI WAKWARE
9 years ago
Habarileo12 Sep
Mabosi wa uchaguzi TFF, DRFA kuteta
KAMATI ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) chini ya Mwenyekiti wake Aloyce Komba, inatarajia kukutana na Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Chama cha Soka Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA), Rashid Sadallah kuzungumzia mambo mbalimbali kuhusu uchaguzi wa Chama cha Soka Temeke (TEFA).
9 years ago
Mwananchi08 Dec
Kimbunga chawakumba mabosi TPA, TRL
10 years ago
Habarileo19 Feb
Mabosi kiwanda cha nondo mbaroni Dar
MAMLAKA ya Maji safi na Maji taka Dar es Salaam (Dawasco) imekamata mifuniko ya majitaka katika kiwanda cha nondo cha Iron & Steel cha jijini Dar es Salaam ikiwa ni hatua mojawapo za kuzuia uhujumu wa miundombinu ya majisafi na wizi wa maji.
10 years ago
GPLMABOSI LAKE OIL WADAIWA KUMVUA NGUO MFANYAKAZI
10 years ago
Mwananchi20 Jan
Thierry Henry, Pires, mabosi Arsenal kutua Tanzania