Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kinachofanyika ni sawa na kuidharau LAAC

Agosti 19, mwaka huu, Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), ilitangaza kugundua mtandao wa ufisadi unaoshirikisha wakurugenzi 70 wa halmashauri mbalimbali hapa nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Tusifundishane kuidharau Serikali

Wapo watu hapa duniani ambao wanaaminika sana kiasi kwamba wale wanaowachukulia kama mifano ya kuigwa. Wanaamini kila wanachosema au kutenda ni sahihi na ndiyo kinachotakiwa kusemwa na kufanywa na watu wengine.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Butiku: Kinachofanyika Bunge la Katiba ni utoto

MKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku, amesema kitendo kinachoendelea sasa hivi katika Bunge la Katiba ni cha kitoto kutokana na ukweli kwamba katiba haiwezi kupatikana kwa kupitishwa...

 

10 years ago

Bongo5

Mashabiki walumbana kuhusu video ya Alikiba ‘Mwana’, kama ni sawa au si sawa kwa video kutofuata maudhui ya wimbo

Wiki moja baada ya video ya Alikiba ‘Mwana’ iliyofanyiika Afrika Kusini na kuongozwa na Godfather, itoke, kumekuwa na maoni tofauti kuhusiana na video hiyo. Baadhi yao wameonekana kuifurahia na wengine wameonekana kutoridhishwa na baadhi ya vitu. Baadhi ya waliotoa maoni wamesema kuwa walitegemea kuona video yenye script inayoendana na maudhui ya wimbo ili kumuwezesha hata […]

 

10 years ago

IPPmedia

LAAC Chairman Rajab Mbarouk


IPPmedia
LAAC Chairman Rajab Mbarouk
IPPmedia
Development projects have failed to take off this financial year due to poor collection of revenues and government's overspending on unplanned undertakings coupled with freezing of funds by donors. With only two months remaining before the 2015/16 fiscal ...

 

10 years ago

AllAfrica.Com

LAAC Snubs Kinondoni Projects


LAAC Snubs Kinondoni Projects
AllAfrica.com
THE Local Authorities' Accounts Committee (LAAC) has refused to conduct inspections on development projects undertaken by the Kinondoni Municipality in Dar es Salaam over financial irregularities. This is after it came to light that 11 out of 15 projects ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

LAAC kuwashughulikia watendaji Longido

KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) inakusudia kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria baadhi ya watendaji katika Halmashauri ya Wilaya ya Longido mkoani Arusha kutokana na kinachoelezwa...

 

5 years ago

CCM Blog

BUNGE LAENDELEA KUJADILI TAARIFA YA LAAC

Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma.Bunge la Bajeti  ,mkutano wa 19 kikao cha 38 limeendelea kujadili hoja ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za serikali za Mitaa[LAAC] kuhusu ripoti ya Mkaguzi na mdhibiti mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) huku serikali ikishauriwa kuanzisha chuo cha Wizi ili kukabiliana na ubadhilifu wa mali za umma.
Wakitoa michango ya maoni  mbalimbali  leo Mei,28,2020 juu ya Ripoti ya CAG iliyowasilishwa bungeni jijini Dodoma na kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za...

 

11 years ago

Habarileo

LAAC yasema wanasheria wa halmashauri ni dhaifu

WANASHERIA wa baadhi ya halmashauri za wilaya nchini wamedaiwa kuwa chanzo cha kuzisababishia halmashauri zao kupata hati chafu au zenye mashaka kutokana na mwenendo wao wa uandaaji wa kesi na matumizi yasiyo ya lazima katika kesi hizo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani