Kinana: Bakini Ukawa, kura mpeni Magufuli
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amewataka wafuasi wa Ukawa wamchague kwa kura nyingi mgombea urais kupitia chama hicho, Dk John Magufuli ili waweze kufaidi mabadiliko ya kweli.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mzalendo Zanzibar25 Oct
Breaking News: Vijana wa UKAWA Mwanza Wachoma MOto Masanduku Yaliopigwa Kura Za MAGUFULI na Wamshikilia Dereva Aliebeba Masanduku hayo
HABARI NJEMA…. Tumepokea taarifa kutoka Mwanza, Geita, Shinyanga, Mara na Kagera muda huu saa 4.15 usiku.. Masanduku 3,470 yamekamatwa kwenye magari ya serikali (TANROADS) Yakiwa na jumla ya kura 1,600,00 za Magufuli. Vijana wamekubaliana walale vituoni […]
The post Breaking News: Vijana wa UKAWA Mwanza Wachoma MOto Masanduku Yaliopigwa Kura Za MAGUFULI na Wamshikilia Dereva Aliebeba Masanduku hayo appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Mwananchi12 Nov
NEC: Wanaharakati mpeni utulivu Rais
9 years ago
Mwananchi30 Aug
Mpeni muda kocha Simba itatisha-Kazimoto
11 years ago
Mwananchi07 Aug
Kinana: Msiwajadili Warioba, Ukawa
10 years ago
Uhuru Newspaper18 Mar
Kinana awalipua viongozi UKAWA
Awaonya uchu wa madaraka utawamalizaNgome ya CHADEMA Karatu yagaragazwa
Na Mwandishi Wetu, Karatu
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, amesema mwisho wa ndoa ya viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), umekaribia.
Amesema muungano huo utabadilika jina na kuwa Ukiwa, ifikapo Oktoba, mwaka huu, wakati mgombea urais wa CCM pamoja na idadi kubwa ya wabunge wake watakapotangazwa washindi.
Alisema kelele nyingi zinazopigwa na viongozi wa UKAWA na mikakati lukuki wanayoizungumza katika...
10 years ago
Mwananchi21 Aug
Kinana: Siyo lazima Ukawa warejee bungeni
10 years ago
Habarileo18 Mar
Ukawa utabadilika kuwa Ukiwa Oktoba -Kinana
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ameubeza muungano wa vyama vya upinzani, maarufu kama Ukawa na kusema muungano huo utabadilika jina ifikapo mwezi Oktoba mwaka huu na kuitwa Ukiwa, baada ya Chama Cha Mapinduzi kutangazwa kuwa mshindi katika nafasi ya Urais.
9 years ago
Mzalendo Zanzibar04 Oct
Ukawa waapa kulinda kura
katibu mkuu wa Chadema, John Mnyika BEATRICE SHAYO 4th October 2015 Kaimu katibu mkuu wa Chadema, John Mnyika akizungumza na waandishi wa bahari jijini Dar es Salaam jana, kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu Tume ya Taifa ya […]
The post Ukawa waapa kulinda kura appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
GPLUKAWA YAITAKA POLISI KUZUIA MIKUTANO YA KINANA NCHINI