Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mpeni muda kocha Simba itatisha-Kazimoto

Kiungo wa Simba, Mwinyi Kazimoto amewataka mashabiki na wapenzi wa timu hiyo kumpa muda kocha Dylan Kerr atengeneze timu badala ya kuwatia katika shinikizo na kuathiri kikosi chao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Kocha mpya Stars ataka muda

KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Martinus Ignatus ‘Mart Nooij’, ameshindwa kuzungumzia kiwango alichokiona juzi dhidi ya Burundi na kudai kuwa anatakiwa kupewa muda ili afanye...

 

9 years ago

MillardAyo

Baada ya kumtimua Jose Mourinho, Chelsea imetangaza kocha wa muda wa timu yao ….

Uongozi wa klabu ya Chelsea December 16 iliripotiwa kuweka kikao cha dharura kujadili mwenendo wa timu yao kwa sasa, Chelsea baada ya kukaa kikao hicho cha bodi, December 17 walitangaza rasmi kumfuta kazi Jose Mourinho na nafasi yake kubaki wazi. Stori mpya ni kuwa uongozi wa klabu ya Chelsea December 19 umetangaza rasmi kumteua kwa […]

The post Baada ya kumtimua Jose Mourinho, Chelsea imetangaza kocha wa muda wa timu yao …. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Kibadeni atamba Ashanti itatisha

Kocha mpya wa Ashanti United, Abdallah Kibadeni ametamba kuwa timu hiyo itatisha zaidi katika mzunguko wa pili wa Ligi Kuu kama ilivyo kuwa hapo zamani.

 

9 years ago

Mwananchi

NEC: Wanaharakati mpeni utulivu Rais

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva amewataka wanaharakati wampe utulivu Rais John Magufuli kuhusu uteuzi wa baraza la mawaziri.

 

9 years ago

Habarileo

Kocha Simba atimka

IKIWA imebaki siku moja kuchezwa kwa pambano la watani wa jadi la Simba na Yanga, klabu ya Simba imeachana na kocha wake wa viungo Dusan Marmcilovic, imeelezwa.

 

11 years ago

GPL

KOCHA SIMBA AFARIKI

James Kisaka enzi za uhai wake. Aliyekuwa kocha wa makipa wa Klabu ya Simba, James Kisaka amefariki dunia leo asubuhi katika Hospitali ya Burhan, Dar es Salaam. Kisaka aliyewahi kuwa kipa wa timu hiyo miaka ya nyuma, alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya kichwa, macho na miguu kwa muda mrefu. Global Publishers tunatoa pole kwa ndugu na jamaa. MUNGU AIPUMZISHE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI.… ...

 

10 years ago

Habarileo

Simba wamchefua kocha

KOCHA wa Simba, Dylan Kerr amesema licha ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 katika mchezo wa kirafiki dhidi ya SCVilla ya Uganda juzi, hajafurahishwa na kiwango cha wachezaji wake.

 

9 years ago

Mwananchi

Kinana: Bakini Ukawa, kura mpeni Magufuli

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amewataka wafuasi wa Ukawa wamchague kwa kura nyingi mgombea urais kupitia chama hicho, Dk John Magufuli ili waweze kufaidi mabadiliko ya kweli.

 

11 years ago

GPL

Matola Kocha Mkuu Simba

Na Mwandishi Wetu
SELEMANI Matola ataonja utamu wa kuwa Kocha Mkuu Simba kwa zaidi ya saa 96 baada mwenye nafasi hiyo kuridhia aitumikie. Kocha Mkuu, Zdravko Logarusic, amekubali Matola apewe nafasi hiyo kuanzia leo Jumatatu hadi Ijumaa asubuhi atakapowasili akitokea kwao Croatia.
Chanzo kimesema hali hiyo inatokana na Logarusic kuchelewa kurejea nchini. “Kweli kocha katuambia atachelewa na nafasi ya ukocha mkuu apewa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani