Kibadeni atamba Ashanti itatisha
Kocha mpya wa Ashanti United, Abdallah Kibadeni ametamba kuwa timu hiyo itatisha zaidi katika mzunguko wa pili wa Ligi Kuu kama ilivyo kuwa hapo zamani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi30 Aug
Mpeni muda kocha Simba itatisha-Kazimoto
11 years ago
Mwananchi01 Apr
Kibadeni amfunika Logarusic
9 years ago
Habarileo26 Nov
Kibadeni aitisha Ethiopia
KOCHA wa timu ya soka ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’, Abdallah Kibadeni amesema kikosi chake kipo imara na wamejipanga kuendeleza ushindi katika mchezo wa mwisho dhidi ya Ethiopia.
9 years ago
Habarileo19 Oct
Magufuli atamba
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli amejigamba kuwa endapo atachaguliwa, atakuwa rais wa mfano barani Afrika. Aidha amesema akiwa waziri wa kawaida anaamini amefanya kazi kubwa na inayoonekana kulinganishwa na iliyofanywa na mawaziri wakuu wa zamani, Edward Lowassa na Frederick Sumaye.
9 years ago
Mtanzania19 Oct
Dk. Magufuli Atamba
BAKARI KIMWANGA NA PETER FABIAN, MAGU
MGOMBEA Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amewataka Watanzania wamchague awe rais kwani atateua waziri mkuu mchapakazi atakayesimamia shughuli za Serikali wakati wote.
Amesema kwamba, anahitaji kuwa na baraza dogo la mawaziri litakalokuwa tayari kwenda kwa wananchi kutatua kero zao.
Dk. Magufuli alitoa kauli hiyo jana kwa nyakati tofauti katika mikutano yake ya kampeni za lala salama zilizofanyika katika Majimbo ya Magu, Sumve,...
11 years ago
Mwananchi03 Apr
‘Wakongwe mizigo Ashanti’
9 years ago
Habarileo23 Oct
Mwaikimba amtabiria neema Kibadeni
MSHAMBULIAJI wa JKT Ruvu, Gaudence Mwaikimba, amesema mabadiliko ya benchi la ufundi yaliyofanywa na uongozi wa timu hiyo yatabadilisha mwenendo mbaya walioanza nao kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu.