Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KINGWENDU AJA NA FAZA HAUSI

MSANII wa filamu nchini Athumani Lali 'Budege' baada ya kucheza filamu za watu sasa ameamua kuja na filamu zake mwenyewe na kuwawezesha wasanii wenzie kuwa na kipato kizuri baada ya kuamua kufungua kampuni yake binafsi inayokwenda kwa jina la AJM Entatainment ambayo ina husika na maswala ya filamu za kibongo Athumani Lali 'Budege' Akizungumza na mwandishi wa habari hizi Lali amesema kuwa kwa sasa yupo katika atua za mwisho kwa ajili ya kutoa filamu mpya inayokwenda kwa jina la Faza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

AJM yaja na ‘Faza Hausi’

MSANII wa filamu nchini, Athumani Lali ‘Budege’, baada ya kushirikishwa katika filamu za watu, sasa ameamua kuja na kazi zake mwenyewe na kuwawezesha wasanii wenzake kuwa na kipato kizuri baada...

 

10 years ago

Mwananchi

Mitikasi ya maza hausi samtaimz ni mikosi

Wazee, mwanangu Jeba anatafuta hauzi ya kupanga. Kama kuna docho mnalijua liko aido, nistueni nikamhamishe. Siku ya tatu leo anapiga mbonji gesti, kazinguana na lendilodi wake, ..akampa kubwa, hapa anasakwa na Polisi.

 

10 years ago

GPL

MASELA OKOENI JAHAZI HAUSI YA JIRANI INAUNGUA!

Oyo! Inakuwa nini masela wangu wa nguvu hapo kwa fasi ya kitaa cha bee? Saidi hii mambo ni mpeto wa kutakata kama kawiz. Wanangu wa kitaa cha Bukoba poleni kinoma kwa kumlosti mzazi jembe mwanangu mwenyewe Stive. Dah! Msela alikuwa bonge la kichwa kilichomaindi maendeleo so tumuenzi kwa kuanzia pale alipoishia. Tupo pamoko kwa sana machalii. Ebana hivi hayo maishu ya eskro si ni kurudishana bihaindi makachaa? Bati kusema ukweli...

 

11 years ago

Bongo Movies

Mke wa Kingwendu Abakwa.


MKE  wa  Kingwendu  ambaye  ni  muigizaji  maarufu  wa  filamu  za  vichekesho  nchini  amefanyiwa  kitendo  kibaya  cha  ubakaji  na  mwanaume  aliyefahamika  kama  Upunguvuku  katika  pagala  moja  huko  Mbagala  Kingugi  kwa  Kisauti.

Mke  wa  Kingwendu  anayejulikana  zaidi  kwa  jina  la  mama  Maua, alikutwa  na  masahibu  hayo  Alhamisi  iliyopita  baada  ya  kuvamiwa  na  Upunguvuku  anayedaiwa  kuwa  alikuwa  amelewa  na  kuingizwa  kwenye  jumba  ambalo halijasha  kujengwa ...

 

9 years ago

Bongo Movies

Hongera Kingwendu Umepigana!

RASHID Mwinshehe Mzange ‘Kingwendu’ mgombea wa Ubunge kupitia CUF aliyekuwa akiungwa mkono na UKAWA afanya kazi nzuri baada ya kupata kura takribani 8,000 nyuma ya Mbunge aliyekuwa akitetea jimbo hilo kupitia chama cha CCM ndugu Seleiman Jafo.

Kingwendu ambaye ni msanii wa vichekesho Swahilihood ambaye ni kivutio katika tasnia ya filamu aliweza kuingia katika medani za kisiasa kuwania jimbo la Kisarawe kwa kujiamini kabisa bila uoga anastahili pongezi kama msanii.

Amaeleta upinzani kwa...

 

9 years ago

GPL

UBUNGE KUMWACHISHA KINGWENDU UIGIZAJI

Mchekeshaji maarufu Bongo, Rashidi Mwinishehe ‘Kingwendu’. Chande Abdallah Mchekeshaji maarufu Bongo, Rashidi Mwinishehe ‘Kingwendu’ ameweka wazi kwamba yupo njiani kuachana na mambo ya uigizaji mara baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge. Akizungumza na mwandishi wetu, Kingwendu ambaye anagombea nafasi ya ubunge katika Jimbo la Kisarawe kwa kupitia tiketi ya CUF, amesema kwamba kwa sasa kitu anachokifikiria ni kuwatumikia...

 

9 years ago

GPL

MATOKEO YAMPA PRESHA KINGWENDU

Komediani maarufu Bongo, Rashid Mwinshehe ‘Kingwendu’. Imelda mtema Pole! Komediani maarufu Bongo, Rashid Mwinshehe ‘Kingwendu’ amesema kuwa matokeo ya uchaguzi wa ubunge katika Jimbo la Kisarawe ambapo alikuwa mmoja wa wagombea, yamemfanya kupata ugonjwa wa presha baada ya kuwa ameshindwa. Akizungumza na gazeti hili, Kingwendu alisema kipindi chote wakati akisubiria matokeo alikuwa akipata simu nyingi kutoka kwa watu...

 

9 years ago

Bongo Movies

Picha: Kingwendu Alivyotikisa Kisarawe

Hizi ni baadhi ya picha za msanii wa filamu za vichekesho nchini, Rashid Mwinshehe ‘Kingwendu’ ambaye ni mgembea ubunge  jimbo la Kisarawe kupitia tiketi ya  chama cha wananchi CUF  alipokuwa akinadiwa na mgombea mwenza wa  urasi kupitia CHADEMA, Juma Duni Haji hivi karibuni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani