Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KINGWENDU AMSAMEHE ALIYEMBAKA MKEWE

Stori: Gladness Mallya/ijumaawikienda MSANII wa vichekesho Bongo, Rashidi Mwinshehe ‘Kingwendu’ amefunguka kwamba japokuwa alipata maumivu ya moyo baada ya jirani yake kumbaka mkewe, Mama Maua ameamua kumsamehe. MSANII wa vichekesho Bongo, Rashidi Mwinshehe ‘Kingwendu’. Akipiga stori na gazeti hili, Kingwendu alisema mara nyingi mkewe alikuwa kimwambia kuhusu jirani huyo kumtongoza lakini akawa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Aliyembaka mfanyakazi wa ndani jela miaka 30

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani imemhukumu kwenda jela miaka 30 mlinzi wa Shule ya Sekondari ya Mbwawa Steven Solomon (29) kwa kosa la kumbaka mfanyakazi wake wa nyumbani mwenye umri wa miaka 16.

 

11 years ago

Mwananchi

Aliyembaka mtoto msikitini jela miaka 30

>Mahakama ya Wilaya ya Liwale, Lindi imemhukumu Mussa Chande kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumbaka mtoto wa miaka 11 anayesoma darasa la nne Shule ya Msingi Kawawa.

 

10 years ago

GPL

BABA ALIYEMBAKA BINTI YAKE WA KAMBO AKAMATWA PARAGUAY

Bw. Gilberto Benitez Zarate anayedaiwa kumbaka binti yake wa kambo na kumsababishia ujauzito. ...Akihojiwa na waandishi wa habari. ...Akipelekwa kituo cha Polisi. Asuncion, Paraguay
GILBERTO Benitez Zarate wa Paraguay amekamatwa akishitakiwa kwa kumbaka na kumpa…

 

11 years ago

Bongo5

Video: Madee azungumzia sababu iliyofanya amsamehe Dogo Janja

Hivi karibuni, Tip Top Connection iliamua kumrejesha tena kundini mwana mpotevu, Dogo Janja aliyeondoka mwaka 2012 baada ya kushindwa kuelewana na Madee. Dogo Janja aliongea maneno mengi yaliyomfanya Madee aonekane mtu mbaya jambo ambalo lilimchukua muda mrefu Madee kurudisha tena moyo wake kwa rapper huyo wa Arusha. Madee ameiambia Bongo5 kuwa kabla ya kukubali arejee […]

 

10 years ago

Bongo5

Rapper amuua mkewe na kujiua, mkewe alimsaliti na Trey Songz, Mayweather ashuhudia tukio zima la mauaji!

Rapper wa Marekani, Earl Hayes amemuua mke wake Stephanie Moseley aliyekuwa staa kwenye kipindi cha “Hit the Floor” cha VH1 kwa risasi na yeye kujiua kutokana na wivu wa mapenzi. Stephanie Moseley Hayes alikuwa ameumizwa na uhusiano wa kimapenzi aliokuwa nao mke wake na Trey Songz. Stephanie Moseley aliuawa nyumbani kwao na mume wake huyo […]

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI AMSAMEHE ALIYEKUWA KAMISHNA JENERALI WA ZIMAMOTO, THOBIAS ANDENGENYE


Rais Magufuli ametangaza kumsamehe aliyekuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye, kutokana na kiongozi huyo kuomba msamaha. Rais amesema licha ya kumsamehe, hatomrudisha Zimamoto, badala yake atapangiwa kazi sehemu nyingine.“Nimeangalia kwanza mnavyopendeza na nyuso zenu zinanionyesha kwamba mmetubu, nimewasamehe leo, aliyekuwa Kamishna wenu simrudishi ‘Fire’ lakini nitamtafutia kazi ameshaniomba msamaha mara nyingi, yaliyopita si ndwele” Rais...

 

10 years ago

CloudsFM

PATCHO MWAMBA AMSAMEHE ALIMZUSHIA KUWA AMEPIGWA BAADA YA KUFUMANIWA NA MKE WA MTU

Msanii maarufu wa bendi na ambaye pia muigizaji wa Bongo Movie, Patcho Mwamba amemsamehe aliyemzushia kuwa amepigwa baada ya kufumaniwa na mke wa mtu kwenye hotel ya Sinza.

Kupitia mtandaoni aliyedaiwa kumzushia jamaa alitwaye Seth ameonekana amepiga picha na Patcho na kuandika kuwa ameomba msamaha na kwamba alikurupuka kuandika bila kufanyia uchunguzi habari hiyo.
Kupitia Uheard ya Clouds fm na Soudy Brown Patcho alitangaza kuwa ataenda sambamba na wote waliomzushia kufumaniwa na kuingiliwa...

 

9 years ago

Bongo Movies

Hongera Kingwendu Umepigana!

RASHID Mwinshehe Mzange ‘Kingwendu’ mgombea wa Ubunge kupitia CUF aliyekuwa akiungwa mkono na UKAWA afanya kazi nzuri baada ya kupata kura takribani 8,000 nyuma ya Mbunge aliyekuwa akitetea jimbo hilo kupitia chama cha CCM ndugu Seleiman Jafo.

Kingwendu ambaye ni msanii wa vichekesho Swahilihood ambaye ni kivutio katika tasnia ya filamu aliweza kuingia katika medani za kisiasa kuwania jimbo la Kisarawe kwa kujiamini kabisa bila uoga anastahili pongezi kama msanii.

Amaeleta upinzani kwa...

 

11 years ago

Bongo Movies

Mke wa Kingwendu Abakwa.


MKE  wa  Kingwendu  ambaye  ni  muigizaji  maarufu  wa  filamu  za  vichekesho  nchini  amefanyiwa  kitendo  kibaya  cha  ubakaji  na  mwanaume  aliyefahamika  kama  Upunguvuku  katika  pagala  moja  huko  Mbagala  Kingugi  kwa  Kisauti.

Mke  wa  Kingwendu  anayejulikana  zaidi  kwa  jina  la  mama  Maua, alikutwa  na  masahibu  hayo  Alhamisi  iliyopita  baada  ya  kuvamiwa  na  Upunguvuku  anayedaiwa  kuwa  alikuwa  amelewa  na  kuingizwa  kwenye  jumba  ambalo halijasha  kujengwa ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani