Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kiongozi Muislamu amsifu Papa, Kenya

Seneta muislamu nchini Kenya ametoa maoni yake kuhusu ziara ya papa Francis nchini Kenya kwa mara ya kwanza tangu achaguliwe kuwa kiongozi wa kanisa katoliki duniani.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

#PAPA TOUR KENYA: Wakenya wampokea Papa kwa mara ya kwanza ujio wake Bara la Afrika!

IMG-20151125-WA0024

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta akisalimiana na Papa Francis wakati alipowasili mapema leo Novemba 25 katika jiji la Nairobi nchini Kenya.

Papa Francis ameanza ziara yake Afrika kwa kuhimiza umoja, uwazi, kuwathamini vijana na kuyatunza mazingira.

Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki aliwasili Nairobi mwendo wa saa kumi unusu jioni na kukaribishwa kwa shangwe na viongozi wa kisiasa na kidini uwanja wa ndege.

Baada ya kuwasili, alielekea Ikulu ambako alipanda mti kisha kukutana na Rais Uhuru...

 

9 years ago

Mwananchi

Papa kutua Kenya Kesho

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Papa Francis amesema kwamba kesho akiwa Kenya atatoa ujumbe wa amani.

 

9 years ago

BBCSwahili

Ziara ya Papa Francis, Kenya

Serikali ya Kenya imethibitisha kukamilika kwa maandalizi ya kumpokea kiongozi wa kanisa katoliki papa Francis.

 

10 years ago

BBCSwahili

Papa Francis awapa pole wa Kenya

Papa atoa mkono wa pole kwa wanafunzi waliouawa nchini Kenya,na kutaka mateso ya wakristo ulimwenguni yakomeshwe.

 

9 years ago

Mwananchi

Kishindo cha Papa Francis Kenya

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis aliyetua Nairobi jana saa 10:45 jioni, leo ‘atajichanganya’ katika moja ya majukumu muhimu wakati akiwa katika siku ya pili ya ziara yake nchini Kenya.

 

9 years ago

Mtanzania

Papa Francis kutua Kenya leo

PopeFrancis-8NAIROBI, Kenya

KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, anatarajiwa kuwasili Kenya leo jioni kwa ziara ya siku tatu.

Wakati huohuo,  Serikali ya Kenya imetangaza kesho kuwa mapumziko maalumu kwa ibada itakayoongozwa na kiongozi huyo.

Papa anatarajiwa kugusa ardhi ya Kenya saa 11 jioni  ndege yake itakapotua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, Nairoibi.

Atakuwa Kenya kwa ziara ya siku tatu kabla ya kwenda Uganda keshokutwa  na baadaye  Jamhuri ya Afrika ya Kati...

 

10 years ago

BBCSwahili

Papa awasalia wanafunzi waliouawa Kenya

Papa Francis amewasalia hadharani wanafunzi wa Kenya waliouwawa Alhamisi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Watoto wapewa jina la Papa Kenya

Akina mama kadhaa katika mji wa Kakamega uliopo magharibi mwa Kenya wameamua kuwaita watoto wao jina la Papa Francis.

 

9 years ago

Habarileo

Papa Francis awasili Kenya kuanza ziara

KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis amewasili nchini Kenya jana jioni kuanza ziara ya kihistoria ya siku sita barani Afrika. Akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini hapa, alipokewa na mwenyeji wake, Rais Uhuru Kenyatta aliyefuatana na mkewe Margaret pamoja na Naibu Rais, William Ruto pamoja na viongozi mbalimbali wa Kanisa Katoliki nchini humo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani