Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kiongozi Red Briged atuhumiwa kukutwa na sare za JWTZ, panga

Watu wawili, akiwamo kiongozi mmoja wa kikundi cha Red Briged cha Chadema Wilaya ya Momba, mkoani hapa wamekamatwa kwa madai ya kukutwa na sare za Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), visu, mapanga na manati.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mwanakijiji atuhumiwa kukutwa na magobole 5

MKAZI wa Kijiji cha Nga'mbi kitongoji cha Mgaye Wilaya ya Mpwapwa mkoani hapa, Bahati Mwandache (65) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma ya kukutwa akiwa na magobole matano na zana za kutengenezea silaha za aina hiyo.

 

11 years ago

Habarileo

Atuhumiwa kukutwa na mitambo ya kufyatua dola

RAIA wa Kongo, Ambanipo Siva (33) aliyekiri kuishi nchini bila kuwa na kibali amedaiwa kukutwa na mitambo ya kutengezea dola bandia za Marekani.

 

11 years ago

Habarileo

Mnigeria atuhumiwa kukutwa na dawa za kulevya za milioni 54/-

 Godfrey NzowaRAIA wa Nigeria, Okwubili Agu (40), amekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere(JNIA) akiwa na pipi 71 za dawa za kulevya aina ya heroin, zenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 54, alizokuwa amezimeza tumboni.

 

11 years ago

Mwananchi

Kesi ya kukutwa na sare za polisi yaahirishwa

 Kesi inayomkabili James Hassani (45),anayekabiliwa na mashtaka ya kujifanya askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani na kukutwa na sare za jeshi hilo imeahirishwa hadi Machi 26 mwaka huu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbaroni kwa kukutwa na bunduki, sare za polisi

JESHI la Polisi Mkoa wa Tanga linawashikilia watu watano kwa tuhuma za kukutwa na bunduki aina ya Shotgun na sare za Jeshi la Polisi ambazo zilitumika katika matukio ya uhalifu...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Askari wanaswa na sare za JWTZ



Wakutwa na mamilioni ya noti bandia

Na Chibura Makorongo, SimiyuASKARI wa Jeshi la Polisi na Magereza, wametiwa mbaroni kwa kukutwa na noti bandia pamoja na sare za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ). Kamanda Charles MkumboAskari hao ni Konstebo Seleman Juma (25) wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) mkoani Simiyu na Edmund Masaga (28), ambaye ni askari Magereza wilayani Bariadi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Charles Mkumbo, alisema askari hao walitiwa mbaroni juzi saa 9:00 alasiri...

 

11 years ago

Habarileo

JWTZ yaonya wanaovaa sare zake

JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeonya juu ya matumizi ya sare na vifaa vingine vya majeshi kwa watu wasiohusika. Limetangaza kuwa hatua kali za kisheria, zitachukuliwa dhidi ya watu hao.

 

10 years ago

GPL

NGWASUMA, TWANGA ZILIVYOMENYANA JANA NA KUTOKA ‘SARE=SARE’

Twanga wakikamua jukwaani. Umati wa watu wakisebeneka Kalala Junior akiimba kwa hisia. Luiza Mbutu akiyarudi…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani