Atuhumiwa kukutwa na mitambo ya kufyatua dola
RAIA wa Kongo, Ambanipo Siva (33) aliyekiri kuishi nchini bila kuwa na kibali amedaiwa kukutwa na mitambo ya kutengezea dola bandia za Marekani.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo13 Mar
Mwanakijiji atuhumiwa kukutwa na magobole 5
MKAZI wa Kijiji cha Nga'mbi kitongoji cha Mgaye Wilaya ya Mpwapwa mkoani hapa, Bahati Mwandache (65) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma ya kukutwa akiwa na magobole matano na zana za kutengenezea silaha za aina hiyo.
11 years ago
Habarileo03 Jan
Mnigeria atuhumiwa kukutwa na dawa za kulevya za milioni 54/-
RAIA wa Nigeria, Okwubili Agu (40), amekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere(JNIA) akiwa na pipi 71 za dawa za kulevya aina ya heroin, zenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 54, alizokuwa amezimeza tumboni.
10 years ago
Mwananchi27 Apr
Kiongozi Red Briged atuhumiwa kukutwa na sare za JWTZ, panga
11 years ago
Habarileo10 Oct
Vijana wasaidiwa kufyatua matofali
VIKUNDI vya vijana mkoani Shinyanga vimepatiwa mashine za kufyatua matofali za kisasa huku wakionywa kutogeuzwa kuwa vijiwe vya siasa na magenge ya kufanya uhalifu.
11 years ago
Tanzania Daima09 Jul
Mtangazaji ajipanga kufyatua albamu
MTANGAZAJI wa Radio Ushindi iliyopo mkoani Mbeya, Calvin Nyorobi, amejitosa katika huduma ya uimbaji wa muziki wa injili na yupo hatua za mwisho kukamilisha albamu yake ya audio na video....
10 years ago
Dewji Blog03 Jul
NHC yazinyang’anya halmshauri za mikoa mashine za kufyatua matofali
*Mkoa wa Katavi na Rukwa washindwa kutumia fursa ya msaada huo
*NHC yanyang’anya mashine Halmashauri za Mikoa hiyo
*Zatakiwa kuomba upya mashine hizo na kuunda vikundi imara
Katika kuhakikisha kuwa rasilimali za umma zinatunzwa, kutumika ipasavyo na kuhakikiwa, NHC imeendelea kuwakagua vijana waliopewa msaada wa mashine za kufyatulia matofali yatakayowezesha wananchi kujijengea nyumba za gharama nafuu katika Halmashauri zote za Mikoa ya Katavi, Mbeya na kukamilika Mkoani Iringa.
Kwa ujumla,...
10 years ago
Vijimambo
Lema avamiwa na ‘UVCCM’, gari yake lavyunjwa vioo; alazimika kufyatua risasi tatu hewani kujiokoa!

Mbunge wa Arusha Mjini Mh Godbless Lema amekubwa na tukio la aina yake maeneo ya Clock Tower Jijini hapa ambapo vijana wanaoaminika kuwa vijana “wafuasi wa UVCCM” walishamshambulia kwa mawe na kufanikiwa kuvunja kioo cha nyuma ubavuni cha gari la Mbunge huyo.
Tukio hilo la kustaajabisha na kutiasha katika swala la amani na usalama kipindi hiki cha kampeni za Serikali za mitaa lilitokea kwenye Sheli iliyopo mkabala na New Arusha...
5 years ago
Michuzi
KALIST ASEMA CCM HAITATUMIA DOLA KUTAKA MADARAKA BALI DOLA KWA NI KUTUMIA KWA KUTUMIKIA WANANCHI

Mstahiki Meya Mstaafu wa Jiji la Arusha Kalist Lazaro akiongea na vyombo vya habari leo leo jijini Arusha
Na Ahmed Mahmoud Arusha
CHAMAcha Mapinduzi,CCM, hakitatumia dola kubakia madarakani bali kitaitumia dola katika kuwatumikia na kuwahudumia wananchi kwa kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo na kuboresha huduma za jamii.
Hayo yameelezwa leo jijini Arusha kwenye ukumbi wa Hotel ya Arusha Palace, na aliyekuwa Meya wa Jijiji la Arusha,Kalisti Lazaro,alipokuwa akitolea ufafanuzi kauli ya...
11 years ago
Habarileo09 Jul
Atuhumiwa kutapeli gari
MKAZI wa Msasani, Felix Mwaipunga (34) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo jijini Dar es Salaam kujibu mashitaka ya kujipatia gari kwa njia ya udanganyifu.