KIPA WA HISPANIA AWAOMBA MSAMAHA MASHABIKI
![](http://api.ning.com:80/files/8W5ARlmXvRnvy*hqTAz5v4H1IqLDOCt0BlxG9j*klCnLIIDa3QS*QlV4diBa66t1QOVGb8XawBoQBrmYdiVN8dSwyLWNcTby/CAS.jpg?width=650)
Kipa wa Hispania, Iker Casillas.  Robin van Persie akimlamba chenga kipa wa Hispania, Iker Casillas kabla ya kuifungia Uholanzi bao la nne katika ushindi wa 5-1 kwenye mechi ya Kundi B Kombe la Dunia 2014 nchini Brazil. Kipa wa Hispania, Iker Casillas, amewaomba msamaha mashabiki kutokana na kikosi chao kuchapwa mabao 5-1 na Uholanzi kwenye Kombe… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo527 Feb
Kanye West awaomba msamaha hadharani Bruno Mars na msanii aliyetaka kumnyakua mic wakati wa Grammy
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/Mainda.jpg?width=650)
MAINDA AWAOMBA RADHI MASHABIKI
10 years ago
Mtanzania07 Aug
Justin Bieber awaomba radhi mashabiki Uingereza
LAS VEGAS, Marekani
NYOTA wa muziki wa RnB nchini Marekani, Justin Bieber, amewaomba radhi mashabiki wake nchini Uingereza baada ya kutangaza kusitisha onyesho alilotakiwa kulifanya nchini humo.
Msanii huyo mwenye umri wa miaka 21, alitarajia kufanya onyesho hilo Agosti 28 mwaka huu nchini humo, lakini amesitisha bila kutaja sababu za msingi.
“Naomba radhi kwa mashabiki wangu nchini Uingereza kwa kusitisha kufanya shoo Agosti 28, lakini lazima nitaifanya muda mfupi ujao.
“Nimeona nitumie...
10 years ago
Bongo Movies31 Mar
Uwanja wa Mashabiki: ‘Mkongomani’ Awaomba Wema na Kajala Kuyamaliza
Moja kwamoja kutoka Inbox, Gloria anatiririka.
Jambo bongo movie! Naitwa gloria, ni mukongomani naye ishi south africa. Napenda sana kazi zenu, tena sana..... Nawapendeni wote. Nina ombi moja, ninge penda muwa unganishe wasani wema sepetu,na kajala. Ahhhhh mimi nawapenda sana, na kila mara ninapo soma kwenye mitandao bifu yao iki endelea ahhhh roho ina niuma sanaaaaa. Naomba wema,amusamehe kajala. Hakuna bina damu aliye kamilika, wote tuna jaribiwa, lakini njia mbadala yaku shinda hayo niku...
9 years ago
StarTV07 Sep
Timu za ligi kuu shinyanga awaomba mashabiki kujenga mshikamano
Wakati mkoa wa Shinyanga ukijipanga kuongeza zaidi timu za ligi kuu, mkuu wa mkoa huo Alhaj Ally Nassoro Lufunga amewakumbusha mashabiki kujenga mshikamano ili malengo hayo yatimie.
Mkuu huyo wa mkoa ambaye ni shabiki wa michezo amewataka mashabiki wa soka mkoani humo wajenge wivu wa kimaendeleo na siyo malumbano ambayo mwisho wake siyo mzuri.
Rai hiyo ya mkuu wa mkoa ameitoa baada ya kubaini kuwepo na kinyongo kutoka kwa mashabiki Mwadui FC kwa madai Serikali mkoani humo na wadau wa...
10 years ago
Bongo506 Oct
Jokate awaomba mashabiki wamvumilie kwa kuchelewa kutoa video yake, atoa sababu zilizoichelewesha
9 years ago
Bongo526 Sep
JB ashindwa kuiachia filamu yake mpya ‘Chungu Cha Tatu’, awaomba mashabiki wavute subira
10 years ago
CloudsFM10 Feb
Ngassa ajuta kuwatosa El Merreikh, aomba msamaha mashabiki wa simba, adai Yanga wamemgeuka
MSHAMBULIAJI wa klabu ya Yanga na Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mrisho Ngassa, amejutia uamuzi wake wa kukataa kujiunga na El Merreikh ya Sudan akisema kuwa yalikuwa ni mapenzi yake makubwa kuichezea Yanga.
Akiongea na Shaffihdauda.com baada ya mchezo wa jana alipoibuka shujaa kwa kuifungia Yanga bao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar, Ngassa alisema kuwa baada ya kugundua alifanya makosa makubwa kuwagomea Simba na Azam FC ambao ndio walitaka kumpeleka El...
9 years ago
Bongo529 Dec
Miss Universe 2015 Pia Alonzo awaomba mashabiki waache chuki, amsifia Miss Colombia aliyenyang’anywa taji
![PIA](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/PIA-300x194.jpg)
Baada ya sintofahamu kuhusu kilichotokea kwenye shindano la Miss Universe 2015, mshindi wa taji hilo kwa mwaka huu Miss Philippines – Pia Alonzo Wurtzbach amefunguka kupitia Facebook kuwashukuru watu mbalimbali akiwemo Miss Colombia ambaye alitangazwa mshindi kwa dakika chache kabla ya kuvuliwa taji na kubaki kuwa mshindi wa pili.
Mrembo PIA
PIA pia amewaomba mashabiki kuacha kubishana kuhusu kile kilichotokea na kuacha kutumiana ujumbe wa chuki na kuwaambia kuwa lengo la shindano hilo ni...