Kipindupindu chatua Singida, yumo aliyetokea Dar
Wakazi 11 wa Manispaa ya Singida, wamelazwa kwenye kambi ya Mandewa iliyotengwa kwa ajili ya wagonjwa wa kipindupindu, wakihofiwa kuugua ugonjwa huo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania18 Aug
Kipindupindu chatua Dar
NA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM
UGONJWA wa kipindupindu umelipuka tena Dar es Salaam na kusababisha watu kadhaa kulazwa katika hospitali mbalimbali.
Wagonjwa hao wamelazwa katika hospitali za Sinza Palestina na Mwananyamala.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala, Dk. Sophinias Ngonyani, alisema wagonjwa waliothibitika kuwa na kipindupindu na kulazwa hospitalini hapo ni wawili.
Alisema wagonjwa hao ambao ni mwanamke na mwanaume wanatoka Tandale na...
9 years ago
Mwananchi30 Dec
Kipindupindu chatua Busega
9 years ago
Mwananchi02 Jan
Kipindupindu chatua gerezani
9 years ago
StarTV29 Sep
Kipindupindu chazidi kuwa tishio chapiga hodi singida 11 walazwa.
WAKATI ukiwa bado ukiendelea kutikisa katika Jiji la Dar-es-Salamu na kuua watu wengi, ugonjwa wa Kipindupindu umeingia katika Manispaa ya Singida ambapo watu 11 wamelazwa kwenye kambi iliyotengwa eneo la viwanja vya Mandewa kwa ajili ya kutibu wenye dalili za ugonjwa huo.
Tayari watu watatu miongoni mwa 11 waliozwa kwenye kambi iliyoanzishwa wakiharisha na kutapika, wamefanyiwa vipimo vya kitaalamu na kubainika kuwa na ugonjwa huo hatari wa kipindupindu.
Akizungumza na waandishi wa habari...
9 years ago
Dewji Blog14 Nov
KIPINDUPINDU chazagaa Singida 23 wafa, huku 48 wakithibitika kuwa na maambukizi ya ugonjwa huo
Mganga Mkuu wa hospitali ya Mkoa wa Singida Dkt. Ernest Mgeta akizungumza na waandishi wa habari juu ya hali ya ugonjwa wa kipindupindu Mkoani humo ambapo hadi sasa watu 23 wamefariki dunia.
Mfanyabiashara maarufu wa soko kuu la Maniapss ya Singida, Robert Anyambilile akizungumza na waandishi wa habari sokoni hapo juu ya hali ya ugonjwa wa kipindupindu huku akiwataka wananchi kuhakikisha kuwa ufasi wa mazingira kwa kila eneo unazingatiwa katika soko hilo ili kuepukana na hatari ya kuugua...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-PflB1vDnTuc/VnjzLG10PHI/AAAAAAAINzM/06Q-IcujenE/s72-c/USAFI.jpg)
MAKALA KUHUSU UGONJWA WA KIPINDUPINDU: Tujilaumu Watanzania kwa kuugua Kipindupindu
Kipindupindu ni ugonjwa wa kuharisha na kutapika unaosababishwa na vimelea vya bacteria vinavyoitwa kwa lugha ya kitaalam “vibro cholera”. Chanzo cha kikubwa cha ugonjwa huu huletwa na vimelea vilivyomo kwenye kinyesi na matapishi ya mgonjwa wa kipindupindu.
Kwa miaka mingi sasa wananchi wa Tanzania tumekumbwa na magonjwa ya aina mbalimbali ya mlipuko ukiwemo ugonjwa wa kipindupindu ambao umeenea kwa kasi kubwa sana kutokana na kuwepo kwa mazingira hatarishi...
9 years ago
Dewji Blog25 Nov
Kipindupindu chapungua DAR
Moja ya kambi ya wagonjwa wa Kipindupindu jijini Dar.
Na Jacquiline Mrisho- Maelezo
Idadi ya wagonjwa wa kipindupindu jijini Dar es salaam imepungua kufikia wagonjwa kumi na mbili (12) kwa mkoa mzima, huku wilaya ya Temeke ikiwa na wagonjwa saba,Kinondoni wagonjwa wanne na Ilala ikiwa na mgonjwa mmoja
Haya yamezungumzwa na Mratibu wa Magonjwa ya kuambukiza wa Jiji la Dar es salaam Bw. Alex Mkamba ofisini kwake jana akielezea jinsi gani mkoa umefanikisha kupambana na kipindupindu kwa...
9 years ago
Mwananchi18 Aug
Dar yakumbwa na kipindupindu
9 years ago
MillardAyo18 Dec
Pichaz 6 za utambulisho wa mchezaji wa kimataifa wa Yanga aliyetokea Niger Issoufou Boubacar Garba
Headlines za ujio wa kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Niger aliyesajiliwa na klabu ya Dar Es Salaam Young African Issoufou Boubacar Garba zilichukua nafasi sana katika vyombo vya habari, ila jioni ya December 15 uongozi wa klabu ya Dar Es Salaam Young African ulithibitisha kumsajili mchezaji huyo kwa mkataba wa miaka miwili, licha ya taarifa za awali […]
The post Pichaz 6 za utambulisho wa mchezaji wa kimataifa wa Yanga aliyetokea Niger Issoufou Boubacar Garba appeared first on...