Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kirusi bwete chazinduka

Kirusi kilichokuwa bwete kwa zaidi ya miaka 30,000 kimezinduka baada ya kupelekwa kweye maabara nchini Ufaransa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Rushwa, Kirusi kinachoitesa CCM

Rushwa!Rushwa!Rushwa! Hiki ndicho kimekuwa kilio cha wagombea wengi wa ubunge walioshiriki mchakato wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) karibu nchi nzima.

 

10 years ago

Vijimambo

HIKI NDICHO KIRUSI KINACHOITAFUNA SIMBA

Simba ni klabu kubwa sana katika historia ya soka nchini na Afrika Mashariki na Kati kiujumla. Hii haina ubishi kutokana na mafamikio yake katika soka miaka ya nyuma hadi ikafikia hatua ya kupachikwa jina la “TAIFA KUBWA”.
Simba ilikuwa tishio lakini kwa miaka ya hivi karibuni imegeuka na inaandamwa na matokeo mabovu.Mwaka 2011-2012 Simba iliambulia nafasi ya 3 katika ligi ikiwa nyuma ya Yanga na Azam, msimu wa mwaka 2013-2014 ilishika nafasi ya 4 nyuma ya Azam, Yanga na Mbeya City iliyoingia...

 

5 years ago

Michuzi

Teknolojia inavyotusaidia kupambana na kirusi cha corona

Mlipuko wa homa ya kirusi cha corona umeleta athari nyingi kwa jamii zetu na kuathiri kwa kiasi kikubwa wananchi na watoa huduma ya afya barani Afrika na duniani kote.

Nchi mbalimbali zimechukua hatua kusaidia taasisi za afya kama hospitali kuweza kuhudumia idadi kubwa ya wagonjwa ambayo kwa wakati mmoja inahitaji wahudumu wa afya, dawa na vifaa.

Njia mojawapo kusaidia hilo ni kupunguza uwezekano wa maambukizi na tumeona hatua kama kufunga shule, mahoteli na kukataza mikusanyiko. Serikali ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

PETER MWALYANZI: Rushwa ni kirusi katika soka nchini

“LICHA ya kukosa mafanikio kisoka kunakoliandama taifa letu, lakini ukweli unabaki kuwa Tanzania kuna vipaji vingi sana, ila baadhi ya viongozi wa klabu wanaviua kwa maslahi yao binafsi. “Mchezaji unaweza...

 

5 years ago

Michuzi

Walioambukizwa kirusi cha corona Afrika Kusini wafikia 38


Wizara ya Afya ya Afrika Kusini imetangaza kuwa, idadi ya watu walioambukizwa kirusi hatari cha corona nchini humo jana ilipanda hadi watu 38 kutoka 24 waliokuwa wameambukizwa kirusi hicho hadi juzi Ijumaa.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, watu 14 waliokumbwa na ugonjwa wa COVID-19 wameongezeka katika kipindi cha siku moja nchini Afrika Kusini.

Huku hayo yakiripotiwa, idadi ya walioambukizwa kirusi cha corona imeongezeka mara mbili pia nchini Morocco baada ya nchi hiyo kuripoti kesi nyingine 9 za...

 

5 years ago

Michuzi

Kirusi cha corona kinavyobadili namna tufanyavyo biashara

Na Mwanaheri Khamis, UngujaTANGU nchi za bara Afrika kuanza kutangaza visa vya wagonjwa wa kirusi cha homa ya corona, shughuli za biashara zimeathirika kwa namna mbalimbali barani hapa.
Kama ilivyo kwa nchi nyingi duniani, Tanzania nayo inapata changamoto hii. Katika miaka ya karibuni, Tanzani imeingia kwa nguvu zote kuhakikisha inabadilika kuwa nchi ya viwanda yenye uchumi wa kati kufikia mwaka 2025. Kufikia hilo kila juhudi inawekwa katika kujenga uchumi wa taifa, wenye biashara na viwanda...

 

5 years ago

Michuzi

Sekta binafsi Tanzania inavyosaidia kupambana na homa ya kirusi cha Corona

KATIKA siku za karibuni kumekuwa na habari nyingi kuhusu hatua mbalimbali zinazochukuliwa kupambana na kuenea kwa homa ya kirusi cha corona.
Wiki hii serikali ya Tanzania imetangaza mpango kujenga hospitali ya kupambana na magonjwa ya mlipuko kama homa hii ya kirusi cha corona. Hospitali hiyo inayokadiriwa kuwa itagharimu shilingi bilioni 7 za Kitanzania inatarajiwa kumalizika ndani ya miezi sita. 
Mbali na hilo, ni faraja kubwa kuona nchi mbalimbali zinakuja pamoja kuhakikisha maisha...

 

11 years ago

GPL

MPENZI WA ZAMANI WA MPENZI WAKO ANAPOKUWA KIRUSI HATARI!

Niwazi kila mmoja wetu ana historia katika maisha yake ya kimapenzi. Huenda mpaka sasa wewe msomaji ulishawahi kuwa na uhusiano na watu zaidi ya mmoja. Wala siyo ajabu! Yawezekana pia kati ya wale uliowahi kuwa nao wapo uliomwagana nao kwa shari lakini wapo pia ulioachana nao kiroho safi. Jambo ambalo leo nataka kulizungumzia ni hili la mtu kuendelea kuwa na mawasiliano na mpenzi wake wa zamani eti kwa sababu waliachana kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani