Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rushwa, Kirusi kinachoitesa CCM

Rushwa!Rushwa!Rushwa! Hiki ndicho kimekuwa kilio cha wagombea wengi wa ubunge walioshiriki mchakato wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) karibu nchi nzima.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

PETER MWALYANZI: Rushwa ni kirusi katika soka nchini

“LICHA ya kukosa mafanikio kisoka kunakoliandama taifa letu, lakini ukweli unabaki kuwa Tanzania kuna vipaji vingi sana, ila baadhi ya viongozi wa klabu wanaviua kwa maslahi yao binafsi. “Mchezaji unaweza...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kinachoitesa Simba chatajwa

SIKU mbili tangu Rais wa klabu ya Simba, Evance Aveva alipowataka wanachama na mashabiki timu hiyo kuwa kitu kimoja katika kipindi kigumu cha timu kuvuna sare katika mechi mbili za...

 

10 years ago

Mwananchi

Takukuru: CCM ikitaka tutaiondolea rushwa

Dar es Salaam. Wakati viongozi wa CCM wanaendelea kupiga kelele bila ya kuchukua hatua dhidi ya vitendo vya rushwa wanavyodai vinafanywa na makada wanaotaka uongozi wa nchi, Takukuru iko tayari kukisaidia chama hicho kikongwe kupambana na uhalifu huo kama kitakuwa tayari kutoa ushirikiano.

 

10 years ago

Mwananchi

Sumaye: Rushwa ikizidi CCM nitajiondoa

Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye amesema iwapo misingi ya uchaguzi ndani ya CCM italalia kwenye rushwa, hataendelea kuwa mwanachama na kuonya kuwa tatizo hilo limefikia pabaya na litakiangusha chama hicho.

 

10 years ago

Habarileo

20 CCM washikiliwa kwa tuhuma za rushwa

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) wilayani Nkasi mkoani Rukwa, inawashikilia wanachama 20 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwemo diwani wa Viti Maalumu (CCM) aliyemaliza muda wake, wakituhumiwa kutoa na kupokea rushwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Rushwa ilivyotawala udhamini wa watiania CCM

Ikiwa imebaki siku moja kabla ya shughuli ya kuchukua na kurudisha fomu imalizike,  wamejitokeza makada 42 wa CCM wanaoomba kuteuliwa na chama hicho tawala kugombea urais, huku wawili kati yao wakiwa tayari wamekosa sifa kikatiba.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ni wakati wa kusikia nguvu ya rushwa CCM

KATIKA kitabu chake cha Nyufa chenye hotuba aliyoitoa Machi 13, 1995, Mwalimu Nyerere ametaja nyufa tano zilizoikumba nchi ambapo alisema kuwa ufa wa nne ni rushwa ndani ya CCM na...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kirusi bwete chazinduka

Kirusi kilichokuwa bwete kwa zaidi ya miaka 30,000 kimezinduka baada ya kupelekwa kweye maabara nchini Ufaransa.

 

9 years ago

Mwananchi

Wagombea CCM, Ukawa vinara wa kutoa rushwa

Mwamvuli wa waangalizi wa ndani wa uchaguzi (Cemot), umetoa ripoti ya mwenendo wa kampeni za Uchaguzi Mkuu nchini wa mwezi mmoja inayoonyesha kuwa CCM imeongoza kwa kujihusisha na rushwa ikifuatiwa na Ukawa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani