Kisarawe waaswa wasichague viongozi wa msimu
WANANCHI wilayani Kisarawe, Mkoa wa Pwani, wametakiwa kuchagua viongozi ambao watakuwa nao karibu katika shughuli mbalimbali za kimaendeleo badala ya wale wa kuwagawia zawadi huku wakiwaacha bila kushirikiana nao hadi...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWAFANYABIASHARA WAASWA KUTOPANDISHA BEI YA NYAMA MSIMU HUU WA SIKUKUU
Akizungumza jana Mei 18,2020 jijini Dar es Salaam, Naibu Waziri Mhe.Ulega amemtaka pia Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Bw. Jumanne Shauri ndani ya siku saba kuhakikisha wanawapeleka wafanyabiashara wanaofanya biashara katika machinjio ya vingunguti kujionea eneo jipya...
10 years ago
StarTV05 Jan
Watanzania waaswa kuchagua viongozi waadilifu.
Na Immaculate Kilulya,
Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe amesema umefika wakati wa watanzania kupiga vita vitendo vya kifisadi kwa kuchagua viongozi wazalendo na waadilifu kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Amesema vitendo vya kifisadi pamoja na rushwa vinakwamisha maendeleo ya Tanzania hali inayosababisha uchumi wa nchi kukua wakati watanzania wakiendelea kubaki masikini.
Waziri Membe amesema hayo wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya...
10 years ago
Habarileo07 Dec
Vijana waaswa kuchagua viongozi makini
VYAMA vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) vimewataka vijana kutotumika kama daraja la kupata viongozi wabovu, wasio kuwa na sifa kwa jamii, baada ya kuchukua fedha chafu kutoka kwa watu wanaoomba nafasi ya uongozi.
11 years ago
Habarileo15 Jul
Viongozi wa dini waaswa kuisaidia Serikali
MADHEHEBU ya dini mkoani Manyara yameombwa kuisaidia Serikali katika kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazoikabili jamii hivi sasa.
10 years ago
StarTV05 Jan
Viongozi CUF waaswa kutekeleza ahadi zao.
Na Abdalla Pandu,
Zanzibar.
Katibu mkuu wa Chama cha wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamadi amewataka viongozi wa chama hicho kujenga utamaduni wa kutekeleza ahadi wanazotoa na kuacha tabia ya kuahidi mambo wasiyoyaweza kuyatekeleza kwani ndio chanzo cha migogoro kati yao na wananchi.
Anasema viongozi hutumia fursa za kampeni za kutaka uongozi kwa kutoa ahadi nyingi ambazo wanashindwa kuzitekeleza ipasavyo hali inayochangia wananchi kutokuwa na imani na viongozi hao.
loans online sc ...
10 years ago
StarTV13 Jan
Wananchi waaswa kuchagua viongozi wachapa kazi
Na Sudi Shaaban,
Mwanza.
Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Mwanza kimewataka wananchi kuwa makini kuepuka watakaotaka uongozi kwa kutoa rushwa na badala yake wachague viongozi ambao watakuwa na weledi na wachapa kazi katika taifa.
Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu watu mbalimbali wanatajwa kujitokeza kuwania nafasi za uongozi baadhi yao wakijipanga kupata kura kwa kuwalaghai wananchi jambo ambalo ni kinyume na taratibu za uchaguzi.
Baadhi ya wananchi wanatajwa kuwa mstari wa...
10 years ago
StarTV05 Jan
Viongozi waaswa kutumia maarifa, busara kuilinda Amani.
Na Abdalla Pandu,
Zanzibar.
Viongozi nchini hawana budi kutumia maarifa na busara kuhakikisha wanalivusha salama Taifa mwaka 2015 hasa katika kipindi cha uchaguzi mkuu na maoni ya Katiba vinavyotarajiwa kufanyika mwaka huu.
Kukosekana kwa umakini na busara kwa viongozi hao kunadaiwa kuwa kunaweza kulifikisha mahali pabaya Taifa.
Ni wakati wa kongamano maalum la kukumbusha wajibu wa kaya na familia na malezi bora kwa vijana lililofanyika katika kanisa la Waadventista Wasabato Chuwini...
9 years ago
StarTV31 Dec
Viongozi wa Dini waaswa kutohubiri uchochezi Kuepuka Uvunjifu Wa Amani
Baadhi ya viongozi wa Dini nchini wametakiwa kuepuka kutumia nyumba za ibaada kuhubiri uchochezi na kutoa utabiri wa mambo yenye maslahi kwa Taifa kwani yanaweza kuleta madhara makubwa kwa jamii.
Kauli hiyo imetolewa na Askofu Mkuu wa Muungano wa makanisa ya kipentecoste Tanzania (MMPT) Erasto Makala katika Ibaada takatifu ya kumsimika mchungaji kiongozi wa mission ya Nzega Yeftha Sang`udi kwa makanisa ya pentecoste yaliyopo kwenye ...
9 years ago
StarTV13 Nov
Wakazi Bariadi waaswa kuvumilia viongozi waliowachagua katika kutekeleza ahadi zao.
Wakazi wa wilayani Bariadi mkoani Simiyu waaswa kuwa na subira katika utekelezaji wa ahadi za viongozi waliochaguliwa kwa sababu haziwezi kutekelezwa kwa wakati mmoja bali kwa mpangilio maalumu na kuzingatia vipaumbele vya wananchi.
Ushauri huo umetolewa na mwenyekiti wa chama cha mapinduzi wilayani Bariadi Bi. Juliana Mahongo katika kikao wadau wa maendeleo kilicholenga kumpongeza Rais John Pombe Magufuri kwa ushindi.
Bi. Mahongo amesema anaimani kubwa na viongozi waliochaguliwa kupitia...