Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kizungumkuti CCM, JK awataka wagombea wasinune

>Rais Jakaya Kikwete amesema idadi ya wanachama wa CCM waliojitokeza kuwania urais ni kubwa, hivyo ni lazima wawape viongozi muda wa kuwachuja lakini akawataka wasiwanunie baada ya kufanya uamuzi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KINANA AWATAKA VIONGOZI WA CCM KUTENDA HAKI NA KUACHA KUWABEBA WAGOMBEA WASIO NA SIFA


 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kaskazini Ali Makame akitoa salaam za ufunguzi wa mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye vya Skuli ambapo mgeni rasmi alikuwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
 Wananchi wakifurahia mkutano wa Kinana.
 Mbunge wa Viti Maluum Kidawa Hamisi akitoa hotuba na elimu kwa waliohudhuria mkutano kwenye viwanja vya Skuli, Nungwi.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Nungwi wilaya ya Kaskazini A kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika...

 

10 years ago

Mtanzania

Wagombea urais CCM wavurugwa

Abdulrahman Kinana

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana

NA ELIYA MBONEA, ARUSHA

KATIKA kile kinachoonekana ni kuvuruga kambi za wagombea urais mwaka 2015, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepangua makatibu wa mikoa 17 kwa kuwahamisha vituo vyao vya kazi.

Makatibu hao ni pamoja na Mary Chatanda aliyekuwa Mkoa wa Arusha, ambaye kwa sasa amehamishiwa Singida.

Chatanda kwa muda mrefu amekuwa na msuguano ndani ya Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Arusha, huku kiini chake kikidaiwa ni misimamo tofauti ya vijana hao...

 

10 years ago

Vijimambo

Wagombea kundi la kifo CCM

Dar es Salaam. Baada ya makada kumaliza kurejesha fomu za kuomba kugombea urais kwa tiketi ya CCM jana, macho sasa yanaelekezwa kwenye vikao vya juu vya chama hicho vitakavyotoa majina yasiyozidi matano yatakayokwenda kupigiwa kura na Mkutano Mkuu utakaofanyika Julai 11 na 12.CCM imeshatangaza kuwa itatumia vigezo 13 ilivyojiwekea kuwachambua wagombea 41 waliochukua na kurejesha fomu ili kupata majina ya wachache watakaopigiwa kura na mkutano huo mkuu, lakini Kamati ya Wazee, ambayo itatoa...

 

10 years ago

Mwananchi

CCM inavyojikwaa kupata wagombea

>Uongozi ni dhamana, ni jukumu zito, mtu hupewa uongozi na watu. Uongozi hautafutwi kwa udi na uvumba.

 

9 years ago

Mwananchi

CCM yapitisha wagombea ubunge

Katika jimbo la Pangani Vijijini, mgombea aliyeshika nafsi ya pili, Mkuu wa Wilaya ya Mufindi, Mboni Mhita alipitishwa badala ya John Sallu aliyeongoza.Kwa upande wa viti maalumu, Halmashauri Kuu imefanya mabadiliko katika baadhi ya mikoa ikiwamo Dar es Salaam ambao aliyeongoza, Angela Kizigha aliondolewa na nafasi yake kuchukuliwa na Janeth Masaburi.

 

10 years ago

Habarileo

Wagombea CCM wavunja rekodi

Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal alipochukua fomu jana.IDADI ya wagombea urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) inazidi kuongezeka na jana wagombea wengine sita walichukua fomu na kufanya idadi ya watu wanaowania kumrithi Rais Jakaya Kikwete kufikia 10.

 

10 years ago

Habarileo

Wagombea urais CCM wafikia 28

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman KinanaIDADI ya wagombea nafasi ya Urais kupitia CCM sasa imefikia 28 baada ya jana makada wengine sita kuchukua fomu.

 

10 years ago

Habarileo

Wagombea urais CCM kitanzini

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwapungia maelfu ya wananchi wakati akiingia katika uwanja wa Maji Maji mjini Songea mkoani Ruvuma jana, kuongoza kilele cha sherehe za kuadhimisha Miaka 38 ya Kuzaliwa kwa CCM.MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete amewaonya wanachama wa chama hicho, kuheshimu Katiba ya chama na kufuata taratibu katika kugombea nafasi za kuteuliwa katika uchaguzi wa mkuu ili wasije kukilaumu chama, endapo wataenguliwa na hivyo kushindwa kutimiza ndoto zao.

 

10 years ago

Mwananchi

Kivumbi wagombea urais 42 wa CCM

Hiki ni kivumbi. Kati ya wagombea 42 waliojitokeza kuwania urais kupitia CCM, anatakiwa kubaki mmoja tu na mchakato wa kuchukua na kurejesha fomu unafungwa kesho.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani