Kizungumkuti uchunguzi ndege ya kulipuliwa
Maofisa wa upelelezi wa ajali za ndege kutoka Misri wamesema hawajapata ushahidi wa kulipuliwa kwa ndege ya Urusi iliyoanguka katika rasi ya Sinai na kuua watu 224 nchini Syria.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili08 Nov
Urusi: Uchunguzi wa kina kuhusu ndege
Wachunguzi wa ile ndege ya Urusi iliyoanguka nchini Misri, wanasema kuwa watatumia kila mbinu ili kubaini kilichosababisha ajali hiyo
11 years ago
Mwananchi19 Dec
Mchimbaji afariki kwa kulipuliwa na baruti
 Mchimbaji mdogo wa madini ya Tanzanite Mji mdogo wa Mirerani, Wilaya ya Simanjiro, mkoani Manyara, amefariki dunia baada ya kulipuliwa na baruti akiwa mgodini.
10 years ago
Mwananchi08 May
Mvua yasababisha Bajeti ya Elimu kupitishwa kwa kulipuliwa
>Licha ya kuwa na upungufu kadhaa uliobainika, Kamati ya Huduma za Jamii imepitisha bajeti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ya 2015/16, tayari kwenda kuwasilishwa bungeni kwenye Bunge la Bajeti linalotarajiwa kuanza Mei, 12.
10 years ago
Vijimambo05 Mar
NDEGE YA SHIRIKA LA NDEGE LA DELTA YAPATA AJALI UWANJA WA NDEGE LAGUARDIA NEW YORK
9 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI AZINDUA SAFARI ZA NDEGE YA SHIRIKA LA NDEGE LA ETIHAD LA NCHINI ABU DHABI LEO MCHANA KATIKA KIWANJA CHA NDEGE CHA KIMATAIFA CHA MWL. JULIUS NYERERE (JNIA)
10 years ago
Mwananchi13 Oct
Kizungumkuti
Utata umezidi kugubika kura mbili zilizowezesha kupitishwa kwa Katiba Inayopendekezwa ambayo wiki iliyopita ilikabidhiwa kwa Rais Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein mjini Dodoma.
11 years ago
Habarileo23 Mar
Kikwete: Serikali 3 kizungumkuti
RAIS Jakaya Kikwete amesema muundo wa serikali tatu uliopendekezwa na Tume ya Marekebisho ya Katiba inayoongozwa na Jaji Joseph Warioba hautekelezeki na kusema kero za Muungano zinaweza kutatulika kwa kuendelea na serikali mbili.
10 years ago
Mwananchi26 Sep
Takwimu za Rasimu ‘kizungumkuti’
Bunge Maalumu la Katiba limezidi kuweweseka na takwimu zilizotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba, baada ya Mwenyekiti wa Bunge, Samuel Sitta kuwatangazia wajumbe kusoma uchambuzi wa takwimu hizo uliofanywa na mjumbe mwenzao, Profesa Remmy Assey.
9 years ago
Mwananchi16 Aug
Agizo la JK Buguruni ‘kizungumkuti’
Zikiwa zimefikia siku 130 tangu Rais Jakaya Kikwete alipotembelea waathirika wa mafuriko eneo la Buguruni kwa Mnyamani ambako aliagiza kuvunjwa kwa nyumba zilizojengwa juu ya karavati lililoziba na kusababisha maji kujaa kwenye nyumba za wakazi wa maeneo hayo, agizo hilo bado halijatekelezwa ipasavyo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania