Kizungumkuti:Utata Kura za Wajumbe waliokwenda Hijja
Waliokuwa Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wakifurahia baada ya kumaliza kazi ya kutunga Katiba mjini Dodoma hivi karibuni. Picha ya Maktaba
Dar es Salaam. Utata umezidi kugubika kura mbili zilizowezesha kupitishwa kwa Katiba Inayopendekezwa ambayo wiki iliyopita ilikabidhiwa kwa Rais Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein mjini Dodoma.Utata huo unatokana na kura za wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) upande wa visiwani, wajumbe waliokuwa Hijja, Saudi Arabia na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo17 Oct
Kizungumkuti kura ya maoni:AG kupasua jipu
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Frederick%20Werema-October16-2014.jpg)
Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema, aliliambia NIPASHE jana kuwa ataweka bayana msimamo wa serikali leo ili kuzima mkanganyiko uliojitokeza kuhusiana na lini kura hiyo itapigwa.
Mkanganyiko huo unafuatia Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania...
11 years ago
Mwananchi05 Mar
Wajumbe Bunge la #Katiba wadai nyaraka huku Hati ya Muungano ikileta utata [VIDEO]
10 years ago
Mwananchi16 Oct
Kura ya Meghji yazua utata mpya
11 years ago
Mwananchi13 Mar
Wananchi wahoji utata upigaji kura
10 years ago
Tanzania Daima22 Oct
Utata wa katiba umalizwe kabla ya kura ya maoni
KWA mara nyingine, Rais Jakaya Kikwete amekuja na lugha mwanana na murua juu ya hiyo tunayotakiwa tuamini ni Katiba inayolifaa taifa hili. Lakini katiba itakayopelekwa kwa wananchi kuifanyia uamuzi sio...
10 years ago
Mwananchi14 Feb
Utata Kura ya Maoni uangaliwe kwa makini
10 years ago
Tanzania Daima25 Oct
NEC yaongeza utata kura ya maoni 2015
UWEZEKANO wa kufanyika kwa kura ya maoni Aprili 30 mwakani, kama alivyoahidi Rais Jakaya Kikwete ni mdogo, baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kuthibitisha kwamba itakamilisha kazi ya...
5 years ago
BBCSwahili01 Mar
Rais wa Guinea Condé ameahirisha kura ya maoni yenye utata
10 years ago
Mtanzania23 Sep
…Kura za wajumbe kukusanywa kwa mtandao
![Samuel Sitta](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Samuel-Sitta.jpg)
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta
NA MAREGESI PAUL, DODOMA
BUNGE Maalumu la Katiba limelazimika kubadili kanuni ili kuwaruhusu wajumbe walio nje ya Bunge hilo kupiga kura za kupitisha rasimu ya Katiba.
Pia, Bunge hilo limebadili kanuni ya 36 inayoagiza mjumbe apige kura ibara kwa ibara ili kuruhusu mjumbe apigie kura ibara zote zilizoko katika sura moja au zaidi ili kupunguza muda wa wajumbe kupiga kura.
Uamuzi huo ulifikiwa jana...