Klabu zetu ziwape makocha heshima wanayostahili
Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara inayoendelea kwa muda wa miezi kadhaa imeshuhudia mambo mbalimbali, yakiwamo mengine ya kupendeza na baadhi ambayo ni ya kusikitisha.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima14 Jun
Wazee wanahitaji haki wanayostahili
“KESHO Juni 15 ni siku ya Kupambana na Manyanyaso na Dhuluma ya Wazee Ulimwenguni… hivyo tusiwahukumu wazee katika hali ya kutojielewa kwa kuwaua kwa kuhisi ni wachawi.” Hayo ni maelezo...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-1i8muMJJfgA/U9t7JDECmlI/AAAAAAAF8Ok/ArMmA_yaWH0/s72-c/unnamed+(24).jpg)
makocha wa Timu ya Barcelona kutoa mafunzo ya makocha wa Tanzania
![](http://3.bp.blogspot.com/-1i8muMJJfgA/U9t7JDECmlI/AAAAAAAF8Ok/ArMmA_yaWH0/s1600/unnamed+(24).jpg)
9 years ago
MillardAyo25 Dec
Achana na klabu ya Lille ya Ufaransa,hii ndio klabu ya Ulaya inayotajwa kumsajili Mbwana Samatta
Headlines za mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta zinazidi kushika kasi, Samatta anatajwa kuwa katika mpango wa kwenda kucheza soka la kulipwa barani Ulaya,mara tu dirisha dogo la usajili la mwezi January litakapofunguliwa. Headlines ambazo zimenifikia kutoka katika mtandao wa www.voetbalkrant.com zinaripo nyota […]
The post Achana na klabu ya Lille ya Ufaransa,hii ndio klabu ya Ulaya inayotajwa...
10 years ago
Vijimambo22 Nov
Shukurani zetu za dhati
Japo kulikua na hali mbaya ya hewa lakini mlijitoa kutusaidia. kiasi cha fedha kilichopatikana tulitangaza siku ya tukio katika ukumbi. Zitamsaidia ndugu yetu wakati huu mgumu wa kuuguzwa.
Tunakushukuruni sana. Mungu awajaalieni nyote.
Tunasema asante sana kwa watanzania wa Boston na wana Massachusetts na state...
10 years ago
Raia Tanzania10 Aug
Ama zao au zetu — Lowassa
MGOMBEA urais wa Chadema ambaye pia anawakilisha Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, amesema vyama vinavyounda umoja huo visipochukua dola katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu, havitaweza kuchukua tena kwa miaka 50 ijayo.
Akizungumza Makao Makuu ya Chama Cha Wananchi (CUF) Buhuruni jijini Dar es Salaam jana mbele ya maelfu ya wananchi waliojitokeza kumpokea alipofika katika ofisi hizo kwa mara ya kwanza, Lowassa alisema ni lazima Ukawa wahakikishe wanashinda...
11 years ago
Tanzania Daima19 Jan
TPC: Tunaboresha huduma zetu
SHIRIKA la Posta Tanzania (TPC) limo katika hatua ya utekelezaji wa mpango wa miaka 10 ili kuendelea kuboresha huduma zake. Kaimu Masta Mkuu wa TPC, Fadya Zam, alisema hayo jana...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DqaYw0w2aP-37kt9hl2RBBeBqlj7d2sdP5VwhTxLSoTJZwlHySwHLzMv6y1NkETlj*kEmwzl-xQLN84DSzC-Adl7I7VO2TiQ/raiskikwete.jpg?width=650)
ZA KUAMBIWA NA JK, WARIOBA TUCHANGANYE NA ZETU
11 years ago
Tanzania Daima03 Aug
Tuzihurimie fedha zetu si UKAWA
WATANZANIA ni watu wa ajabu sana, maajabu yenyewe yanakuja hivi; linakuja wazo la kutengeneza kitu linakubaliwa kitu kitengenezwe. Inatengwa fedha nyingi sana kwa ajili ya maandalizi, kitu kinatengenezwa na kukubalika...
10 years ago
Tanzania Daima25 Oct
Wabongo akili zetu kama haradali!
UUUWWWWWIIII! Hivi hawa watu wanadhani Watanzania akili zetu ni ndogo kama punje ya haradali au vipi? Hata mambo ya kimataifa mnafanya mizaha tu eh? Unajua vitu vingi hata vikiwa binafsi...