Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kliniki ya afya ya mapenzi Mwanza yaungua moto

moto mwanza (1)

Moto mkali ukiunguza Ofisi za Kliniki ya afya ya mapenzi iliyopo jijini Mwanza leo.

moto mwanza (2)moto mwanza (11)

Ofisi hizo zikizidi kuungua kwa moto.

moto mwanza (4) moto mwanza (5)moto mwanza (10)

Zimamoto wakijaribu kupambana na moto huo.

moto mwanza (6) moto mwanza (7) moto mwanza (8) moto mwanza (9)

Na Idd Mumba, Mwanza

Ofisi za Kliniki ya afya ya mapenzi iliyopo jijini Mwanza karibu na jengo la Nyanza leo majira ya saa tisa alasiri imeungua moto na kuteketeza vitu mbalimbali vilivyokuwepo katika kliniki hiyo.

Wakizungumza na www.globalpublishers.co.tz mashuhuda wa tukio hilo wamesema waliona moshi ukitoka katika...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Machinga Complex yaungua kwa moto

Jengo la wafanyabiashara ndogondogo maarufu ‘Machinga Complex’ lililopo Karume, jijini hapa limeungua moto wakati mafundi wakifanya matengenezo ya kupanua vizimba vya biashara katika ghorofa ya tatu.

 

11 years ago

GPL

PICOLO BEACH HOTEL YAUNGUA MOTO

Sehemu ya Hoteli ya Picolo Beach ikiteketea kwa moto. Sehemu ya Hoteli ya Picolo Beach iliyopo Kawe, Dar es Salaam kwa sasa  inateketea kwa moto. Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika mpaka sasa! Tutaendelea kuwapa taarifa zaidi juu ya tukio hili! (PICHA NA GLOBAL WHATSAPP 0753 715 779)

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: NYUMBA YA MKUU WA WILAYA YA KILWA YAUNGUA MOTO ASUBUHI HII

HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE ZINASEMA NYUMBA YA MKUU WA WILAYA YA KILWA MHE ABDALLAH ULEGA IMESHIKA MOTO  ASUBUHI HII NA JUHUDI ZA KUUZIMA ZINAENDELEA HIVI SASA.  CHANZO CHA MOTO HUO NA MADHARA YAKE BADO HAVIJAJULIKANA. TUTAENDELEA KUWAPA TAARIFA  ZAIDI KWA KADRI ZITAVYOWEZA KUPATIKANA.

 

10 years ago

Habarileo

Kliniki kuwezesha afya tele

Waziri wa Afya, Dk Seif Rashid.WAJAWAZITO mkoani T a b o r a wameaswa k u a n z a huduma za kliniki mapema sana ili kuepuka madhara ya uzazi na kutunza ujauzito wao vizuri kupitia huduma za afya ya uzazi kwa mama na mtoto zinazotolewa katika vituo mbalimbali vya afya.

 

11 years ago

CloudsFM

POLISI AMRUBUNI MWANAFUNZI KUFANYA NAYE MPENZI,AMWACHA CHUMBANI KWAKE,NYUMBA YAKE YAUNGUA MOTO,MWANAFUNZI AFARIKI DUNIA

Wananchi wa Mlangali, Ludewa wakiwa wamekizingira kituo cha polisi Mlangali mara baada ya kuipeleka maiti ya mtoto aliyeteketea kwa moto katika kituo hicho.KIONGOZI wa mbio za mwenge Kitaifa awatuliza wananchi wa Mlangali wilaya ya Ludewa ambao baadhi yao waliandamana kituo cha polisi kushinikiza kutolewa kwa askari polisi aliyedaiwa kusababisha kifo cha mtoto ili auwawe.Kiongozi huyo aliwaomba wananchi wa Mlangali kutokubali kujihusisha na vitendo vya uvunjifu wa amani ikiwa ni pamoja na...

 

11 years ago

Dewji Blog

Wanaume washiriki afya ya uzazi, jinsia kwa kusindikiza wake zao kliniki

DSC09657

Kaimu mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Singida, Joseph Sabore (anayeangalia kamera) akizungumza na maafisa wa shirika lisilo la kiserikali la Health Actions Promotion Association (HAPA), YMC na WaterAid Tanzania, ambao wako katika halmashauri hiyo kufanya tathimini ya mradi wa ushiriki sawa wa wanaume katika afya ya uzazi na ujinsia. Mradi huo unaotarajiwa kugharimu zaidi ya shilingi 1.6 bilioni, unatekelezwa kwa kipindi cha miaka mitatu na unatarajiwa kufikia ukingoni...

 

10 years ago

Vijimambo

KESI YA MADAI DHIDI YA MAOFISA WA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII KUDAIWA KUIFUNGA KLINIKI YA FOREPLAN HERBAL YAWAVUTA WATU WENG

Mawakili kutoka Kampuni ya Kamanija and Company Advocates, wanao mtetea Dk. Juma Mwaka katika kesi ya madai iliyofunguliwa dhidi ya maofisa wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, wanaodaiwa kuifunga Kliniki ya ForePlan Herbal iliyopo Ilala, inayomilikiwa na Dk.Mwaka, wakizungumza na waandishi wa habari katika viwanja vya Mahakama ya Wilaya ya Ilala Dar es Salaam leo, mara baada ya kusikiliza kesi hiyo ambapo itatolewa uamuzi Novemba 26 mwaka huu iwapo kama upande wa jamhuri utaunganishwa...

 

11 years ago

Habarileo

Amwagiwa uji wa moto wivu wa mapenzi

MTUMISHI wa ndani, Jacquiline Lasway (22), mkazi wa Minga mjini hapa amelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Singida baada ya kumwagiwa uji wa moto na mke wa mwajiri wake kwa kile kinachodaiwa ni wivu wa mapenzi.

 

10 years ago

Habarileo

Ajiua kwa moto hasira za mapenzi

MKAZI mmoja wa kijiji cha Malolwa wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa, Ndikile Sunguli (38) amejichoma ndani ya nyumba hadi kufa baada ya kumjeruhi mke wake katika ugomvi unaoaminika ni wa mapenzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani