Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kocha: Cheka acha uvivu

Kocha Abdallah ‘Comando’ Salehe amemwambia bondia Francis Cheka aache uvivu kwa kisingizio cha kuumia mkono na kumtaka kuendelea kujifua hata kama amefungwa bandeji ngumu mkononi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kocha wa Cheka aijia juu BMT

Cheka na Miyeyusho wamejiandaa kwa kutumia fedha zao, walitarajia kurudishiwa baada ya pambano.

 

10 years ago

Vijimambo

21.12.2013 - Fedor Chudinov vs Francis Cheka huyu ndiyo Cheka aliefungwa miaka 3 magereza


BONDIA maarufu nchini wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka amehukumiwa kifungo cha miaka 3 jela na kutakiwa kulipa fidia ya Sh. millioni 1 kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi meneja wa baa yake (Cheka) iitwayo Vijana Social iliyopo Morogoro Mjini.Akimsomea mashitaka, Hakimu wa Mahakama ya Mkoa wa Morogoro, Said Msuya alisema Cheka alikutwa na hatia ya kumpiga aliyekuwa meneja wa baa yake aitwaye Bahati Kabanda 'Masika'.
Alisema kuwa Cheka alitenda kosa hilo Julai 2, mwaka jana ambapo meneja huyo...

 

10 years ago

Vijimambo

KOCHA WA YANGA AGOMA KUMPA MKONO KOCHA MWENZIE

Kocha simba akimpa mkono kocha wa YangaHans ameshindwa kupeana mkono wa pongezi na kocha mwenzake kutokana na kikosi chake kukubali kupokea kichapo kutoka kwa wekundu wa msimbazi lakini katika hali ya kawaida mchezo ukimalizika makocha upeana mkono kama ishara ya kukubali matokeo (fair play) na kocha msaidizi wa yanga Boniface Mkwasa ametoa mkono huku akiwa ameangalia pembeni.Goran akimwambia basi samahani kwa kukufunga wewe nipe mkono tuBaada ya mchezo kocha aliwashukuru wachezaji wake kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Msekwa amtolea uvivu Kingunge

Makamu mwenyekiti mstaafu wa CCM, Pius Msekwa amemrushia kombora kada mkongwe wa chama hicho, Kingunge Ngombale-Mwiru kuwa, hazijui vyema kanuni zinazoongoza mchakato wa uteuzi wa mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho tawala.

 

10 years ago

Habarileo

Shein awatolea uvivu CUF

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein.RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema hakuna kundi au mtu mwenye uwezo wa kuipindua Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) au ile Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SMT) na atakayethubutu kuwaza au kupanga jambo hilo atakiona cha moto.

 

11 years ago

Tanzania Daima

DC Mpanda amtolea uvivu mhandisi

MKUU wa Wilaya ya Mpanda, Paza Mwamlima, amempa  siku saba Mhandisi wa Ujenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mpanda,  Albert Kinyando, kuhakikisha jengo la Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya...

 

10 years ago

Habarileo

Shein amtolea uvivu Maalim Seif

RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein ameelezea kushangazwa na tabia ya vyama vya upinzani kususia mchakato wa Katiba wakati ndio waliokuwa mstari wa mbele kulilia uwepo wa Katiba mpya. Aidha, ameelezea kushangazwa na msimamo wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad kwa kuikataa Katiba Inayopendekezwa, ilhali mambo anayoyalilia yamo katika katiba hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Kinana aitolea uvivu Serikali ya CCM

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ameikosoa Serikali ya chama chake kwamba imekuwa siyo sikivu kwa matatizo ya wananchi na kuwa wabunge wa chama hicho wanapitisha sheria ambazo zinakuwa mzigo kwa wananchi.

 

11 years ago

Mwananchi

Mnyika amtolea uvivu Prof Muhongo

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, John Mnyika, amemjia juu mjumbe mwenzake, Profesa Sospeter Muhongo kwa kile alichodai kutaka kuharakishwa upitiaji wa rasimu za kanuni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani