Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kocha KCC ashangaa kubeba ubingwa Zenji

KOCHA Mkuu wa timu ya KCC ya Uganda, George Nsimwa, juzi alitoa kali kwa kusema anashangazwa na timu yake kubeba ubingwa wa Kombe la Mapinduzi kwenye Uwanja wa Amaan, mjini...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kocha wa KCC aisikitikia Simba

>Siku moja baada ya KCC kutwaa ubingwa wa Kombe la Mapinduzi, kocha wa KCC, George Nsimbe ameisikitikia Simba na kusema “Ooh! poleni sana Simba, siyo nia yetu kuondoka na Kombe la Mapinduzi.”

 

11 years ago

GPL

KOCHA ALIYEIPA SPAIN UBINGWA WA ULAYA AFARIKI DUNIA LEO

Kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Hispania Luis Aragones amefariki dunia, akiwa na miaka 75, jumamosi ya leo katika clinic moja jijini Madrid, daktari Pedro Guillen amethibitisha. Kocha huyu atakumbukwa kwa kuiongoza Hispania katika awamu mpya ya mafanikio mnamo mwaka 2008, alipoiwezesha timu hiyo kutwaa kombe la EURO na baada ya hapo alistaafu na kumpisha Del Bosque. Aliifundisha Spain kuanzia mwaka 2004 - 2008. ...

 

11 years ago

GPL

KCC BINGWA MAPINDUZI CUP

Wachezaji wa KCC, viongozi na mashabiki wao wakishangilia ushindi baada ya kutwaa kombe la Mapinduzi leo. Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein naye alikuwepo uwanjani kushuhudia mtanange huo kati ya Simba na KCC.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sare zaing’oa Simba ‘Zenji’

KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Phiri amesema haoni haja ya kurejea Zanzibar kuendelea na kambi kwa mechi zijazo za Ligi Kuu, baada ya kuambulia sare katika mechi mbili mfululizo katika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yanga yawakera mashabiki Zenji

BAADHI ya mashabiki wa Yanga mjini hapa wamelaani kitendo cha uongozi wa klabu hiyo kushindwa kupeleka timu katika michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa mara nyingine wakisema kunawanyima raha. Wakizungumza...

 

9 years ago

GPL

MLELA AJIACHIA NA SHOMBESHOMBE ZENJI

Staa wa filamu za Kibongo, Yusuf Mlela akiwa na shombeshombe huyo. Gladness Mallya STAA wa filamu za Kibongo, Yusuf Mlela juzikati alinaswa Zanzibar akijiachia kimahaba na mrembo shombeshombe.Chanzo makini kililitonya gazeti hili kuwa, Mlela ameonekana visiwani humo kwa wiki nzima akijiachia na mwanadada huyo ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja bila kuhofia wala kuogopa macho ya watu. Alipoulizwa kwa njia ya simu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Simba yakumbuka marashi ya ‘Zenji’

KIKOSI cha Simba chini ya Kocha Mkuu Mzambia, Patrick Phiri, kinatarajiwa kuondoka jijini Dar es Salaam leo kwenda Zanzibar kwa maandalizi ya mwisho ya Ligi Kuu Tanzania bara itakayoanza Jumamosi...

 

10 years ago

GPL

Mavugo akusanya kijiji Zenji

Straika wa Simba, Mrundi, Laudit Mavugo. Na Richard Bukos, Zanzibar
WAKATI straika wa Simba, Mrundi, Laudit Mavugo, akitarajiwa kutua kambini visiwani hapa ndani ya siku mbili hizi, mashabiki wa klabu hiyo juzi walijitokeza kwa wingi kwenye Uwanja wa Amaan kuhudhuria mazoezi ya kikosi hicho wakiamini Mrundi huyo angekuwepo uwanjani hapo. Lakini Kocha Msaidizi wa Simba, Selemani Matola, amelithibitishia Championi Jumatano kuwa,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani