Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Koffie azungumzia wimbo wa Selfie

Wimbo ujulikanao kama Selfie wa mwana muziki maarufu wa miondoko ya kilingala Koffi Olomide umejizolea umaarufu

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Nahreel azungumzia madai ya wimbo wa Game kufanana na wimbo wa Patoranking ‘Girlie O’

Mtayarishaji wa muziki na msanii, Nahreel amezungumzia madai ya kufanana kwa wimbo wa kundi lake Navy Kenzo, ‘Game’ pamoja wimbo wa ‘Girlie O’ wa msanii wa Nigeria, Patoranking. Nahreel ameiambia 255 kwenye kipindi cha XXL kupitia Clouds FM kuwa kabla wimbo huo haujatoka Patoranking aliusikia na kuusifia. “Kiukweli cha kwanza kabla Game haijatoka Patoranking yeye […]

 

9 years ago

Bongo5

‘Selfie’ yamrudisha Koffi Olomide kwenye chati, azungumzia ndoto ya kuwa ‘Rais wa Afrika’

11429493_1452487665073871_1410855431_n

Koffie Olomide amerudi tena kwenye chati za muziki barani Afrika tangu aachie wimbo wake mpya, Selfie katikati ya mwezi uliopita.

Kama unasikiliza redio na kutazama TV za Tanzania utakubaliana nasi kuwa wimbo huo ni miongoni mwa nyimbo zinazochezwa zaidi kwa sasa.

Selfie unafanya vizuri katika bara lote la Afrika na nchi za Ulaya zikiwemo Ufaransa, Ubelgiji na Canada na umeweza kuwavutia mashabiki wengi vijana tofauti na nyimbo zake za hivi karibuni.

Mastaa akiwemo Didier Drogba...

 

11 years ago

Bongo5

Alikiba azungumzia uwezekano wa kufanya wimbo na Diamond Platnumz

Ulichokuwa ukisubiri kwa muda mrefu huenda kikatokea hivi karibuni. Collabo ya Alikiba na Diamond Platnumz mabibi na mabwana inanukia. Akizungumza na kipindi cha Jahazi cha Clouds FM leo (20/8), Alikiba amesema upo uwezekano wa kufanya kazi ya pamoja kama kukitokea mabadiliko. “Mawazo ya kolabo yapo, mawazo unapata mengi tu, hiyo nimeshaisikia vilevile, na wewe sio […]

 

10 years ago

Bongo5

Video: Izzo Bizness azungumzia wimbo wake mpya ‘Shem Lake’

Izzo Bizness ametutembelea kuzungumzia wimbo wake mpya ‘Shem Lake’ aliowashirikisha Mwana FA na G-Nako. Tazama mahojiano hayo chini. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

11 years ago

Bongo5

Jux azungumzia tetesi za kuhusu wimbo wake mpya ‘Sisikii’ kama amemuimbia Vanessa Mdee

Mwimbaji wa R&B Jux ameendelea kukana tetesi za kuwa na uhusiano na Vanessa Mdee aka Vee money , ambao wameonekana kuwa karibu sana kwa siku za karibuni. Tetesi hizo zimepelekea watu kuhisi kuwa wimbo wake mpya ‘Sisikii’ alioutoa wiki hii amemuimbia Vanessa. Hii si mara ya kwanza kwa Jux kusemekana kutoa wimbo ambao amemwimbia msichana, […]

 

11 years ago

Bongo5

Roma atimiza ahadi ya kufanya wimbo Sharobaro Rec, wimbo unaitwa ‘Maumivu’

Hitmaker wa Mathematics Roma Mkatoliki ametmiza ahadi yake ya kwenda kufanya wimbo katika studio za Sharobaro Records chini ya producer Bob Junior aliyoweka wakati wa kombe la dunia kama Brazil ingefungwa na Ujerumani. Katika studio hiyo, Roma amerekodi wimbo uitwao ‘Maumivu’. Roma na producer Bob Junior wakiwa studio Akizungumza na Bongo5 leo, Bob Junior amesema […]

 

9 years ago

Bongo5

Barnaba: Video ya wimbo wangu na Jose Chameleone itachelewa kwasababu ninauogopa wimbo

Barnaba c

Wimbo mpya wa Barnaba Classic aliomshirikisha staa wa Uganda, Jose Chameleone ndio collabo ya kwanza ya kimataifa kwa Barnaba.

Barnaba c

Barnaba ambaye anauachia wimbo huo ‘Nakutunza’ leo November 9, amesema kuwa video ya wimbo huo itachelewa kutokana na kwamba yeye binafsi anauogopa wimbo huo, akimaanisha ni wimbo mkubwa hivyo anaogopa kukosea.

“Video yangu imechelewa kwasababu wimbo huu ndio collabo yangu ya kwanza inayonipeleka International na ndio collabo yangu kubwa” alisema Barnaba kupitia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani