Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kombani awataka Watanzania kushiriki ulinzi

 Celina Kombani WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani amemtaka kila Mtanzania mwenye uzalendo kushiriki kikamilifu katika suala la ulinzi, badala ya kuwaachia askari pekee hasa katika kipindi hiki ambako kimekuwa na matukio mengi ya kialifu na kigaidi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Kinana awataka Wana CCM kushiriki miradi ya maendeleo

WAFUASI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Pwani wametakiwa kuacha tabia ya kuwa watazamaji kwenye miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika maeneo yao. Wito huo ulitolewa mjini Mlandizi, Kibaha wakati...

 

10 years ago

Dewji Blog

DC Tunduru awataka wadau wa misitu kushiriki katika maendeleo vijijini

DSCN4170

Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Chande Nalicho.

Na Steven Augustino wa Demashonews,Tunduru

SERIKALI Wilayani Tunduru Mkoani Ruvuma, imewataka wafanyabiashara walioomba kuvuna mazao ya misitu Wilayani humu, kutoa ushirikiano katika uendelezaji wa elimu ikiwa ni pamoja na kutoa misaaa ya kutengeneza madawati  na kuyasambaza katika shule zilizopo Wilayani humu.

Wito huo, umetolewa na Mwenyekiti wa kamati ya uvunaji wa mazao ya misitu wilayani Tunduru, Mkuu wa Wilaya ya hiyo, Bw. Chande Nalicho,...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AWATAKA WANANCHI KUSHIRIKI KWA AMANI KURA YA MAONI NA UCHAGUZI MKUU BAADAYE MWAKA HUU

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanbzibar Balozi Seif akijibu maswali aliyoulizwa na Wanahabari wa Shirika la Magazeti ya Serikali la Zanzibar leo Hafsa Golo aliyepo Kati kati na Tatu Makame wa kwanza kushoto. Ripota wa Shirika la Utangazaji Tanzania {TBC } Marine Hassan akiporomosha maswali kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakati wa mahojiano yao kuhusu maadhimisho ya Miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Picha na – OMPR – ZNZ.
                                 ...

 

5 years ago

Michuzi

Naibu Waziri Nyongo awataka viongozi wa vijiji kushiriki kutoa elimu ya uwekezaji sekta ya madini kupunguza migogoro


Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo akiwa ameambatana na Mkuu wa Wilaya ya Misungwi Juma Sweda (shati ya draft) nyuma yao ni Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Fredy Mahobe na wajumbe wengine wakitoka kukagua jengo lililoandaliwa kwa ajili ya kufungua soko la madini la wilaya hiyo. (Picha na Wizara ya Madini).
.Mkurugenzi wa Kampuni ya Busolwa Mining LTD, Baraka Ezekiel akielezea jambo kwa ujumbe ulioambatana na Naibu Waziri Nyongo wakati wa ziara ya kukagua kusikiliza na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watanzania, Waturuki kushiriki maonyesho Dar

WAFANYABIASHARA wa Tanzania wameshauriwa kushiriki kwenye maonyesho ya bidhaa za sekta mbalimbali kutoka Uturuki yatakayoanza kesho. Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Balozi wa Uturuki nchini hapa,...

 

10 years ago

Michuzi

Simbachawene awataka watanzania wamuamini

Na Chalila Kibuda, Globu ya jamii
Waziri wa Nishati na Madini ,George Simbachawene amesema kuwa watanzania wamuamini ataendeleza kwa kasi ile ile katika kuwafikishia wananchi maendeleo kupitia sekta za nishati na madini.
Hayo ameyasema leo wakati alipoanza kazi rasmi katika Wizara hiyo akichukua nafasi ya Profesa Sospeter Muhogo aliyejiuzulu wiki iliyopita,amesema kila mtu sio mkamilifu hata mitume watu wengine hawakumuamini.
Simbachawene amesema ana uzoefu wa kufanya kazi na kuachana...

 

9 years ago

StarTV

Magufuli awataka watanzania kudumisha amani

 

Katika harakati za kufanya kampeni katika mikoa tofauti nchini Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dokta John Pombe Magufuli amefanya kampeni katika jimbo la Chato ambalo amelitumikia kwa miaka ishirini kama Mbunge.

Akihutubia wananchi waliojitokeza kumlaki na kusikiliza vipaumbele vilivyoainishwa katika ilani ya Chama cha Mapinduzi, Dokta Magufuli amezungumzia maendeleo yaliyofikiwa na jimbo hilo chini ya uwakilishi wake kuwa ni kielelezo cha utendaji na ufanisi alionao katika...

 

10 years ago

Michuzi

ASKOFU AWATAKA WATANZANIA WAJITOKEZE KUJIANDIKISHA

Na woinde shizza ,ArushaAskofu Mkuu wa Kanisa la International Evangelism Church Eliud Isanja  amewataka Watanzania wajitokeze kwa wingi kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura ili kutimiza haki yao ya kikatiba na kuchagua viongozi bora watakaoleta maendeleo  ya taifa.
Isanja aliwaasa Watanzania kutozembea nafasi hiyo muhimu na badala yake waitumie fursa hiyo  itakayoleta  mabadiliko yanayotarajiwa na wengi.
Akizungumza katika mahafali ya Wahitimu wa Diploma ya masomo ya Biblia...

 

5 years ago

CCM Blog

MANGULA AWATAKA WATANZANIA KUTOCHEZEA AMANI

  Na John MapepeleMakamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Philipo Japhet Mangula  amewataka watanzania kutochezea  amani  na  kuyumbishwa na wanasiasia  na badala yake  waione amani walio nayo kama mtaji mkubwa wa kuwaletea maendeleo ya kweli kwa kizazi cha sasa na baadaye.
Mangula ameyasema haya leo katika ukumbi wa maktaba Manyoni wakati alipohitimisha ziara yake ya kikazi ya siku saba kwenye Mkoa wa Singida ambapo amesema Tanzania  ni miongoni mwa nchi chache duniani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani