Kombe la Mapinduzi Kuboreshwa ili Liwe na Sura ya Muungano.
![](https://1.bp.blogspot.com/-1D4NnYK-qG8/XmD1gmThOMI/AAAAAAALhNU/VE5zqr-rjp4dOiJmB04WsUCk9rL-qdMewCLcBGAsYHQ/s72-c/45d9acc6-eed0-4950-a102-b27a702a7b23.jpg)
Mhe.Mahmoud Thabiti Kombo Waziri wa Habari,Utalii na Mambo ya kale SMZ (katikati) akiongoza kikao cha kupokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa maazimio yaliyofikiwa katika kikao cha mawaziri kilichofanyika julai,2019 jijini Dodoma pamoja na mapendekezo ya maeneo mapya ya ushirikiano baina ya Wizara zenye dhamana ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo SMT na SMZ kilichofanyika Zanzibar machi 04,2020.Kushoto ni Mhe Harrison Mwakyembe Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo (SMT) na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-8heGyLCrwJg/VE5xCBtuuPI/AAAAAAAGtr0/_BvanElyQf0/s72-c/Dr.Asha-Rose-Migiro-228x300.jpg)
Isomeni Katiba Mpya Inayopendekezwa sura kwa sura na ibara kwa ibara ili muweze kupata uelewa - Dkt. Migiro
![](http://1.bp.blogspot.com/-8heGyLCrwJg/VE5xCBtuuPI/AAAAAAAGtr0/_BvanElyQf0/s1600/Dr.Asha-Rose-Migiro-228x300.jpg)
WANANCHI wameshauriwa kuisoma Katiba Mpya Inayopendekezwa sura kwa sura na ibara kwa ibara ili waweze kupata uelewa wa masuala mbalimbali yaliyomo ndani ya Katiba hiyo na kuacha kusikiliza maneno ya watu yenye nia ya kupotosha ukweli.
Kauli hiyo ilitolewa jana na Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha Rose Migiro wakati wa sherehe za mahafali ya pili ya Shule ya Sekondari ya Wasichana wanaoishi katika mazingira hatarishi ya WAMA Nakayama, iliyopo wilayani Rufiji...
11 years ago
Mwananchi20 Apr
Maige: Tunakosea kuupa Muungano sura ya vyama
9 years ago
Mtanzania09 Sep
Kombe la Mapinduzi hatihati
NA MOHAMED MHARIZO, DAR ES SALAAM
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu nchini (TFF), limepanga kuzuia timu zake kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar, kutokana na Chama cha Mpira wa Miguu visiwani humo (ZFA), kukabiliwa na kesi mahakamani.
Rais wa wa TFF, Jamal Malinzi, amesema Dar es Salaam jana katika mahojiano maalumu na MTANZANIA kuwa wana kila sababu ya kuzizuia timu zinazoshiriki Ligi Kuu ya Tanzania Bara, kwenda Zanzibar kushiriki Kombe la Mapinduzi.
Alisema ZFA ina usajili wake...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DGhaQe0o0DSwm-J*00ntF*Ng6Ov*Lc*AofpeKeSuOhJQUzaUaBFJP*NabSRRy92cD2J9ZJ0fgEr9sToBzKUVx*pR77*1FguP/LOGA.jpg?width=650)
Logarusic: Kombe la Mapinduzi si ishu
10 years ago
BBCSwahili14 Jan
Simba SC mabigwa wa kombe la mapinduzi
11 years ago
Tanzania Daima11 Jan
Azam yatema kombe Mapinduzi
MABINGWA wa Kombe la Mapinduzi, Azam FC, jana walivuliwa taji baada ya kukubali kichapo cha mabao 3-2 kutoka timu ya Halmashauri ya Jiji la Kampala Uganda (KCC), katika mechi ya...
10 years ago
BBCSwahili09 Jan
Yanga yaaga kombe la Mapinduzi
9 years ago
Habarileo30 Dec
Simba wapania Kombe la Mapinduzi
TIMU za Simba na Azam zimepania kuchukua ubingwa wa Kombe la Mapinduzi kwa kuhakikisha zinapambana mwanzo hadi mwisho na kushinda kila mchezo ulioko mbele yao.
11 years ago
Mwananchi14 Jan
KCCA wateka Kombe Mapinduzi