KUANZIA JUMATATU KILA MTU AVAE MASK

Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda ameagiza kuwa mtu yeyote anayeenda katika eneo lolote la manunuzi lazima awe amevaa Barakoa (mask)
Amesema haijalishi ila lazima watu wavae Barakoa “Ununue, ukate kanga, ukate leso na utafute rubber bands. Lazima uwe umevaa Barakoa”
Aidha, ameagiza kuwa kuanzia Jumatatu biashara zote zifanyike kwa mfumo wa ‘take away’ yaani ufike sehemu ya kununua bidhaa, nunua na ondoka
Pia, amewataka watu kuhakikisha wanakaa umbali wa mita 2 kila wakiwa eneo la msongamano...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
Kipindi cha JUKWAA LANGU Sept 28 2015 (FULL) KILA SIKU YA LEO JUMATATU KUANZIA SAA 12 JIONI ET USIKOSE

Hiki ni kipindi kilichosikika Septemba 28, 2015
Kutoka Tanzania tuliungana na Liberatus Mwang'ombe. Mgombea ubunge jimbo la Mbarali kwa tiketi ya CHADEMA
Studioni alikuwepo Dj Luke Joe, na kwa njia ya simu tukaungana na wasikilizaji wengi ndani na nje ya Marekani
KARIBU
10 years ago
Michuzi
Strabag yatangaza mabadiliko makutano ya Morogoro/Kawawa kuanzia Jumatatu

Mabadiliko hayo yanaanza Jumatatu tarehe 17 hadi tarehe 30 mwezi huu. Akitangaza mabadiliko hayo jana jijini Dar es Salaam, Afisa uhusiano wa kampuni hiyo, Bw. Yahya Mkumba alisema mabadiliko hayo yanatokana na matengenezo yatakayokuwa yanafanyika eneo hilo.
Akielezea zaidi, alisema magari yatakayokuwa...
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi13 Nov
Huduma ya Treni ya Jiji yaahirishwa kuanzia leo hadi Jumatatu Novemba 17, 2014
Ufafanuzi wa sababu za kusitishwa huduma umeeleza kuwa kichwa kimojawapo ambacho hutoa huduma kimepelekwa Karakana Kuu ya Morogoro kwa ajili ya ukarabati maalum na kwamba kinatarajiwa kurejeshwa Dar es Salaam jioni ya siku ya...
5 years ago
Michuzi
RC MAKONDA ATANGAZA KUANZIA JUMATATU WANANCHI WOTE WANAOTOKA MAJUMBANI LAZIMA WAWE WAMEVAA BARAKOA

Na Said Mwishehe,Michuzi TV
WANANCHI wa Jiji la Dar es Salaam hasa wale ambao wanatoka na kwenda kwenye shughuli mbalimbali wanatakiwa kuvaa barakoa kuanzia Jumatatu ya Aprili 20, mwaka huu kama hatua ya kukabiliana na virusi vya Corona na atakayekaidi atachukuliwa hatua kali.
Akizungumza leo Aprili 18, 2020 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amesema kuwa kuanzia Jumatatu watu wa Jiji hilo watatakiwa kuvaa...
5 years ago
BBCSwahili10 May
Virusi vya corona: Zambia kufunga mpaka wake na Tanzania kwa muda kuanzia Jumatatu
10 years ago
Michuzi
KILA JUMATATU YA KWANZA YA MWEZI OKTOBA NI SIKU YA MAKAZI DUNIANI

Nchini, mwaka huu tarehe 05/10/2015 – Jumatatu, Maadhimisho ya siku hii yanategemewa kufanyika katika viwanja vya Karimjee kuanzia saa mbili na nusu asubuhi (2:30) mpaka saa nane mchana (8:00).
Kauli Mbiu ya...
9 years ago
Michuzi29 Nov
9 years ago
Michuzi07 Dec