Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kufeli ni ajali, maisha lazima yaendelee

Elimu ni silaha muhimu katika kupambana na changamoto za maisha. Hawakukosea waliosema kuwa “elimu ni ufunguo wa maisha” kwani mtu anapokuwa na elimu ya kutosha, siyo tu atakuwa katika nafasi nzuri ya kupata ajira, bali atapambana na mazingira yake ili kupata maisha bora.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Wanafunzi waaswa kutokufaulu kidato cha nne, sio kufeli maisha

DSC01412

Rais wa shirikisho la wachimba madini Tanzania na mgeni rasmi wa mahafali ya sita ya shule ya sekondari kata Mandewa,John Bina,akizungumza kwenye mahafali hayo. Kulia ni mwenyekiti wa bodi ya shule ya sekondari ya Mandewa.Bahati Shagama na kushoto ni mkuu wa  wa shule hiyo, Margreth Missanga.

Na Nathaniel Limu, Singida

RAIS wa shirikisho la wachimba madini Tanzania, John Bina amewataka wanafunzi ambao hawatafaulu mtihani wa kidato cha nne mwaka huu,wasikate tamaa kwa madai kwamba yapo...

 

9 years ago

Global Publishers

Umeumizwa, acha yapite, maisha lazima yasonge-2

stressed-womanHongera sana mpenzi msomaji kwa kuifikia, kuifurahia na kuimaliza Sikukuu ya Krismasi vizuri ni jambo jema sana na la kumshukuru Mungu.

Niwape faraja na tumaini jipya wale wote wanaofunguka kutokana na makala za uhusiano kupitia safu yetu hii pendwa ya XXLove.

Yafuatayo ni sehemu ya maoni yenu wapenzi wasomaji yaliyotokana na mada yetu ya wiki iliyopita ya ‘Umeumizwa, Acha Yapite, Maisha Yasonge’.

MSOMAJI WA MBEZI BEACH, DAR
Mada nzuri sana, inafundisha, mimi ni mfano; nilikuwa na mchumba...

 

9 years ago

Global Publishers

Umeumizwa, acha yapite, maisha lazima yasonge

Stressed-woman-pictureKujuliana hali ni jadi yetu. Uhali gani mpenzi msomaji wangu? Ni Jumatatu nyingine murua iliyojaa mishemishe za maandalizi ya Sikukuu ya Krismasi, nami nakutakia maandalizi na mnuso mwema.

Wadau wangu, katika mapenzi haijalishi umeumizwa kwa namna gani, iwe kwa kutukanwa, kufumaniwa, kupigwa, kunyanyaswa, kejeli na kila aina ya kuumizwa na mpenzi wako uliyempenda, amini nakuambia, ulipaswa uumie hivyo ili ujifunze au ung’amue kitu f’lani katika ulimwengu wa mapenzi.

Yakupasa pia kuamini kuwa...

 

10 years ago

Bongo5

Dully Sykes: Promota anayetaka kunipandisha ndege lazima tuandikishane kwenye bima ya maisha

Usafiri wa ndege ndio usafiri wa hara zaidi, lakini kwa Dully Sykes ndio usafiri ambao anaouogopa na kuukwepa katika maisha yake kiasi cha kuwa tayari kukataa show ambayo itamlazimu kupanda ndege. “Sikurogwa wala nini ni tatizo tu linalowatokea watu wengi sio mimi pake yangu”. Dullysykes ameiambia 255 ya XXL ya Clouds FM. Dully amesema promota […]

 

9 years ago

Dewji Blog

Tutumie lifti za majengo makubwa na marefu kistaarabu kuepuka ajali zisizo za lazima!

elevator-11Moja ya batani za lifti 

Na Andrew Chale, Modewjiblog

[TANZANIA] Jiji la Dar es Salaam ni miongoni mwa majiji makubwa katika bara la Afrika huku likiwa ni miongoni mwa majiji yanayoendelea kukuwa kwa kasi hasa katika nyanja za kiuchumi, biashara na ukuaji wa watu kila kukicha huku majengo makubwa na marefu ya makazi na kibiashara nayo yakishamili kila kukicha.

Tunaamini kuwa ukuaji wa majengo marefu na makubwa tukizoea kuyaita magorofa kama yanavyofahaamikaa katika majengo haya yamekuwa...

 

11 years ago

Habarileo

Ajali zakatisha maisha ya watu 3

WATU watatu wamekufa katika matukio matatu jijini Dar es Salaam, likiwemo la mtembea kwa miguu Mwalimu Yusuph (50) aliyekufa baada ya kugongwa na pikipiki.

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

AJALI YA MIKUMI WATU 7 WALIPOTEZA MAISHA

 Ajali ya mabasi iliyotokea jana MikumiWatu saba wamefariki dunia na wengine zaidi ya 48 kujeruhiwa vibaya baada ya basi la Msanga Line walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na basi la Luwinzo katika eneo la hifadhi ya taifa ya Mikumi, wilaya Kilosa, Morogoro.

Ajali hiyo ilitokea jana saa 6:45 mchana, baada ya basi la Msanga Line linalosafiri Dar es Salaam kwenda Mahenge, wilayani Ulanga, Morogoro kugongana na basi la Luwinzo lililokuwa linatoka Njombe kwenda Dar...

 

11 years ago

GPL

42 WAPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI PAKISTAN

Tela la trekta likiondolewa eneo la ajali. Ramani ikionyesha eneo ilipotekea ajali. WATU 42 wamepoteza maisha wakati 17 wakijeruhiwa baada ya basi la abiria lililokuwa likielekea Karachi nchini Pakistan kugongana na trekta lililokuwa na tela. Miongoni mwa waliopoteza maisha ni watoto 14 na wanawake 13. Ajali hiyo imetokea leo katika mji wa Sukkur, umbali wa kilomita 425 kutoka Karachi. Dereva wa basi amefariki papo hapo wakati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani