Umeumizwa, acha yapite, maisha lazima yasonge
Kujuliana hali ni jadi yetu. Uhali gani mpenzi msomaji wangu? Ni Jumatatu nyingine murua iliyojaa mishemishe za maandalizi ya Sikukuu ya Krismasi, nami nakutakia maandalizi na mnuso mwema.
Wadau wangu, katika mapenzi haijalishi umeumizwa kwa namna gani, iwe kwa kutukanwa, kufumaniwa, kupigwa, kunyanyaswa, kejeli na kila aina ya kuumizwa na mpenzi wako uliyempenda, amini nakuambia, ulipaswa uumie hivyo ili ujifunze au ung’amue kitu f’lani katika ulimwengu wa mapenzi.
Yakupasa pia kuamini kuwa...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Umeumizwa, acha yapite, maisha lazima yasonge-2
Hongera sana mpenzi msomaji kwa kuifikia, kuifurahia na kuimaliza Sikukuu ya Krismasi vizuri ni jambo jema sana na la kumshukuru Mungu.
Niwape faraja na tumaini jipya wale wote wanaofunguka kutokana na makala za uhusiano kupitia safu yetu hii pendwa ya XXLove.
Yafuatayo ni sehemu ya maoni yenu wapenzi wasomaji yaliyotokana na mada yetu ya wiki iliyopita ya ‘Umeumizwa, Acha Yapite, Maisha Yasonge’.
MSOMAJI WA MBEZI BEACH, DAR
Mada nzuri sana, inafundisha, mimi ni mfano; nilikuwa na mchumba...
11 years ago
Mwananchi25 Mar
Kufeli ni ajali, maisha lazima yaendelee
10 years ago
Bongo525 Aug
Dully Sykes: Promota anayetaka kunipandisha ndege lazima tuandikishane kwenye bima ya maisha
10 years ago
VijimamboIBADA YA KUMBUKUMBU NA SHUKURANI YA MAISHA YA MAISHA YA MAREHEMU WILBARD KENTE DMV
10 years ago
Bongo515 Nov
6 legends; 6 stars; 1 spotlight: Maisha Magic kuja na shindano la muziki ‘Maisha Supastar’
9 years ago
Mwananchi18 Sep
Kamusoko mtamu, we acha tu!
10 years ago
Mwananchi07 Aug
Yanga bwana, we acha tu
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p8dNfbTfHuCXZMIR9iO0blRWQSyJvtlN-mzTeXN-H2ItJwHUVTsFCYnZOCFlVutbgjFqFhJBz4mOhhfEeZop*pZ3*PSbtXX6/MAHABA.gif?width=650)
ACHA KUSHOBOKEA MAGARI!-2
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/d5hxC5etmnkExV34Eq450DSPcEmbm4w9IbXfsXPYEjFG8wZrggFzCdplsyNmNxyL0CV4IZ6pte6nSlouznkdqbh-*24tDWU5/mahaba.gif)
ACHA KUSHOBOKEA MAGARI!