Kuhusu CHAUKIDU na Mipango ya April 2015
Ndugu Wadau na Wakereketwa wa Lugha ya Kiswahili.
Pamoja na Salamu za Mwaka Mpya, napenda kuchukuwa fursa hii kuambatanisha kumbukumbu za mkutano uliofanyika kwenye ofisi za Ubalozi wa Tanzania mjini Washington DC mwezi Septemba mwaka jana. Tunaomba radhi sana sana kwa kuchelewesha kuwatumieni kumbukumbu hizi. Hata hivyo Waswahili wanasema "Chelewa ufike". Ni matumaini yangu kwamba utapata muda wa kuzipitia na kujihabarisha kuhusu mipango inayoandaliwa ya kufanyika kwa mkutano mkuu wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-kxy1YyVrkYk/VQ1nxeIqANI/AAAAAAADdAQ/yCEBQ-ZnEH8/s72-c/Ali_Hassan_Mwinyi.jpg)
MHESHIMIWA ALHAJ ALI HASSAN MWINYI, RAIS MSTAAFU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUWA MGENI RASMI KWENYE TAMASHA LA CHAUKIDU APRIL 23
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2Fapi.ning.com%2Ffiles%2FebhDxq3vSqjYFAE7ALRDjqlG6buY47wYiglzHj0palxIn1Kzu*mk5fwYtuNfsA7ODuIYKOuimnMgTmBayAtcodIb1CT7ki6G%2F1.gif&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
![](http://4.bp.blogspot.com/-kxy1YyVrkYk/VQ1nxeIqANI/AAAAAAADdAQ/yCEBQ-ZnEH8/s1600/Ali_Hassan_Mwinyi.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-DaP7jSFixbM/VQ1nyR4J9zI/AAAAAAADdAY/aRBoUKNMo2Y/s1600/Chaukidu_Flyer%5B1%5D.bmp)
Nunua tiketi yako mapema kwa kutembelea Tovuti ya CHAUKIDU <www.chaukidu.org>, au piga simu namba 301-433-3411(Tumaini), 301-793-2833 (Asha) na 202-830-6555 (Dr. Magembe) kununua tiketi moja kwa...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-EzqGRjb-irM/VPD2JE3hqqI/AAAAAAADa8I/9vuJnFEXk7w/s72-c/Chaukidu%2BFlyer.bmp)
TAMASHA LA CHAUKIDU TAREHE 23 APRILI 2015 WASHINGTON DC
![](http://1.bp.blogspot.com/-EzqGRjb-irM/VPD2JE3hqqI/AAAAAAADa8I/9vuJnFEXk7w/s1600/Chaukidu%2BFlyer.bmp)
Mwana DMV, nunua tiketi yako mapema kwa kutembelea Tovuti ya CHAUKIDU <www.chaukidu.org>, au piga simu namba 301-433-3411 (Tumaini), 301-793-2833...
10 years ago
Vijimambo23 Apr
RATIBA YA TAMASHA LA CHAUKIDU TAREHE 23 APRILI 2015 WASHINGTON DC
HOLLYWOOD BALLROOM – SILVER SPRING, MARYLAND (MUDA/SAA)12:00 - 1:00 Kuwasili kwa Wanachama na Wageni Waalikwa Washiriki Wote Hollywood Ballroom 1:15-1:25 Ukaribisho Rasmi na maelezo kuhusu CHAUKIDU Mkurugenzi wa CHAUKIDU-Dr. L. Muaka Hollywood Ballroom 1:30-2:30 CHAKULA CHA JIONI - Shairi (Anna Mwalagho)- Wimbo - Kizazi Kipya (AJ Ubao)- Kanga Fashion Show (Ma Winny) MC / Mhudumu wa Chakula / Wasanii Hollywood Ballroom 2:30-2:45 ...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-EzqGRjb-irM/VPD2JE3hqqI/AAAAAAADa8I/9vuJnFEXk7w/s72-c/Chaukidu%2BFlyer.bmp)
10 years ago
Dewji Blog23 Apr
Shindano la TMT 2015 lazinduliwa rasmi leo, Mwanza kufungua pazia tarehe 24 April 2015.
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-EzqGRjb-irM/VPD2JE3hqqI/AAAAAAADa8I/9vuJnFEXk7w/s72-c/Chaukidu%2BFlyer.bmp)
RATIBA YA MKUTANO NA TAMASHA LA CHAUKIDU TAREHE 23 APRILI 2015 WASHINGTON DC CHUO KIKUU CHA HOWARD — WASHINGTON DC
![](http://1.bp.blogspot.com/-EzqGRjb-irM/VPD2JE3hqqI/AAAAAAADa8I/9vuJnFEXk7w/s1600/Chaukidu%2BFlyer.bmp)
MUDA/ SAATUKIOWAHUSIKAMAHALA2:00-3:00ASUBUHIKuwasili, kujiandikisha kwa washiriki wa mkutano (Chai / Kahawa)Washiriki wote Howard University3:00-3:30Ukaribishaji wa WashirikiMkurugenzi wa ChaukiduHoward University3:30-4:00Ufunguzi Rasmi wa MkutanoRais wa ChaukiduHoward University4:00-5:30Kikao cha 1 – Mawasilisho ya Mada mbali mbali kutoka kwa Wanazuoni Mratibu – Leonard...
10 years ago
Bongo Movies05 Feb
Uwoya Asema yupo SERIOUS kuhusu mipango ya ndoa na Jaguar
Mwanadada Irene Uwoya amesema ingawa Jaguar alishindwa kuja kuzungumza na wazazi wake kuhusu ndoa yao, bado wanawasiliana vizuri na kila kitu kipo sawa.
Akizungumza na Mpekuzi, Irene amesema mahusiano yake na Jaguar yapo japo hajafanya maamuzi ya kuolewa.
“Jaguar hakuja kuna vitu ambavyo vilitokea vikasababisha asije,”amesema mrembo huyo.
“Kila siku naongea naye na uamuzi wake upo pale pale. Mimi mwenyewe bado sijafanya maamuzi ya kusema niolewe lakini akija ndo tutaongea kila...
11 years ago
Michuzi24 Apr
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/JhlwCWpRX6E/default.jpg)