Kukatwa vidole ilikuomboleza mpendwa wako
Jamii moja inawakata viganja wapendwa wao ilikuonyesha mapenzi kwa wapendwa wao walioaga dunia
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili14 Oct
Je,utakubali mshahara wako kukatwa na kupewa mzazi wako?
Sera isio ya kawaida na ambayo imeanzishwa na kampuni moja nchini Uchina kwa wafanyikazi kutoa kiwango kidogo cha mishahara yao kwa wazazi wao imezua mjadala mkubwa
11 years ago
GPLUMUHIMU WAKO KWA MWENZI WAKO UKO WAPI?
KUNA wakati inatokea kwenye uhusiano, mmoja wao akadhauriwa na mpenzi wake na kuonekana wa kawaida tu. Athari kubwa zaidi katika kuonekana wa kawaida au kudharauliwa ni kuachana wakati wowote – kwa ghafla. Mara nyingi tendo la kuachana kwa wenzi wa aina hii huwa hakuna sababu kubwa sana. Jambo dogo tu linaweza kukatisha uhusiano lakini kumbe ndani kuna siri nyingine kubwa zaidi; kushuka thamani – kupoteza...
11 years ago
GPLUMUHIMU WAKO KWA MWENZI WAKO UKO WAPI? -3
KAMA kuna mambo muhimu unayotakiwa kuyajua katika mapenzi ni pamoja na umuhimu wako kwa mwenzi wako. Ndugu zangu, huwezi kuwa kwenye uhusiano ambao hauna faida. Mambo yanakwenda hovyo, huthaminiwi wala kupewa kipaumbele. Katika mada hii tunaendelea kuangalia ni kwa namna gani utakuwa mwenye umuhimu kwenye uhusiano wako. Ngoja niwachekeshe kidogo; kuna wakati niliwahi kukutana na msichana mmoja ofisini akihitaji ushauri. Jambo...
9 years ago
BBCSwahili30 Aug
Wahamiaji watachukuliwa alama za vidole
Mawaziri wa Ulaya wataka alama za vitambulisho za wahamaiji zichukuliwe na orodha ya nchi "salama" iwepo
9 years ago
Habarileo06 Jan
CUF yanyooshewa vidole Zanzibar
VYAMA vya siasa visiwani Zanzibar vimeshutumu uamuzi wa Chama cha Wananchi (CUF) kususa sherehe za miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar na kusema kimedhihirisha kilivyo na kigugumizi kutambua mapinduzi ya mwaka 1964.
9 years ago
Mwananchi01 Nov
Wazanzibari walichovya vidole mara mbili
Wakati wapigakura wa Tanzania Bara walitakiwa kuchovya kidole mara moja kuthibitisha kuwa wametumia haki yao ya kidemokrasia kuchagua viongozi wa kitaifa, Tanzania visiwani ilikuwa tofauti; walichovya vidole mara mbili.
11 years ago
BBCSwahili15 Jun
Taleban lawakata vidole waliopiga kura
Maafisa nchini Afghanistan wanasema kuwa watu 11 wamefariki baada ya gari lao kazkazini mwa taifa hilo kukanyaga bomu.
10 years ago
Mwananchi01 Mar
UANDIKISHWAJI: Usugu wa vidole kwa BVR watatuliwa
>Tatizo la watu wenye vidole sugu ambao awali vilishindwa kusomwa na mashine zinazotumika kuandikisha wapigakura za Biometrick Voters Registration (BVR) limepatiwa ufumbuzi na wataalamu wa mashine hizo walioambatana na tume katika mji huu kwa ajili ya kazi hiyo.
11 years ago
Mwananchi19 Jul
Kukabili fangasi kwenye vidole vya miguu
Twiki iliyopita nilikuwa najibu swali la msomaji wetu kuhusu fangasi na nilieleza kuwa maradhi haya ni sugu zaidi kwa watu wa maeneo yenye joto kwa sababu za kijiografia.Â
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania