Wazanzibari walichovya vidole mara mbili
Wakati wapigakura wa Tanzania Bara walitakiwa kuchovya kidole mara moja kuthibitisha kuwa wametumia haki yao ya kidemokrasia kuchagua viongozi wa kitaifa, Tanzania visiwani ilikuwa tofauti; walichovya vidole mara mbili.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi04 Oct
Nimenusurika kupigwa na Wazanzibari mara mbili bungeni
10 years ago
Mwananchi12 Jun
Adaiwa kujiandikisha mara mbili Daftari la Wapigakura
11 years ago
Tanzania Daima10 Jun
Agonga mara mbili, ajiua kwa risasi
MFANYABIASHARA wa madini, Richard Lucas (29), amejipiga risasi kichwani baada ya kusababisha ajali mbili tofauti na gari lake kupinduka. Tukio hilo lilitokea juzi majira ya saa 12 jioni nyumbani kwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/gDF3S0THO9yqjzeiLzp-9yhlc5O0D4*rONSwxL5KszaqEPptZoZMhkbxCx2fqn66ZldByx88Iw8LQsFvvTXDfeccYsOjKQeO/2.jpg?width=650)
MWANDISHI ALBINO ANUSURIKA KIFO MARA MBILI
11 years ago
Habarileo04 Jan
Aliyewahi kujaribu kujinyonga mara mbili afanikiwa kujiua
BIBI kizee aliyefahamika kwa jina la Emmy Mjenzi (106) mkazi wa Mtaa wa Mhuti Kijiji cha Chigongwe wilayani Bahi, mkoani hapa amekufa kwa kujinyonga chumbani kwake kwa kutumia kamba ya mbuyu iliyosokotwa kwa kile kilichodaiwa kuchoka kuishi kwa muda mrefu.
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/8rOh5xT-qzI/default.jpg)
10 years ago
Mtanzania10 Jun
152 mbaroni kwa kujiandikisha mara mbili BVR
NA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, limewatia mbaroni watu 152 wa Mkoa wa Njombe kwa tuhuma za kujiandikisha mara mbili katika Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa mfumo wa elektroniki (BVR).
Akizungumza jana na waandishi wa habari, Kaimu Mkurugenzi wa NEC, Dk. Sisti Cariah, alisema watuhumiwa hao walinaswa kupitia vifaa maalumu na watashtakiwa kwa kosa la jinai ili iwe fundisho kwa wengine.
Alisema mfumo mpya wa BVR...
10 years ago
Habarileo10 Jun
150 kortini kwa kujiandikisha mara mbili BVR
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema watu 152 watafikishwa mahakamani mkoani Njombe kutokana na kujiandikisha mara mbili katika Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa mfumo mpya wa ‘Biometric Voter Registration Kit’ (BVR).
10 years ago
Mwananchi29 Nov
Bunge laahirishwa mara mbili kutafuta mwafaka maazimio ya PAC