Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWANDISHI ALBINO ANUSURIKA KIFO MARA MBILI

OJUKU ABRAHAM/Amani MWANDISHI wa habari mwandamizi, Henry Mdimu ambaye ni Albino, aliyejiteua kuwa Balozi wa kuwatetea walemavu wa ngozi kwa kuanzisha kampeni aliyoiita Imetosha, kutokana na kukithiri kwa mauaji dhidi yao, amesema alinusurika kuuawa mara mbili na watu alioamini walihitaji viungo vyake, Amani lina data kamili. Mwandishi wa habari mwandamizi, Henry Mdimu. Akizungumza na gazeti hili juu ya nia yake hiyo ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mtoto wa mwandishi anusurika kutekwa

Kamanda wa polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Robert Boaz amewatahadharisha wazazi wenye watoto wadogo kuwaelimisha wafanyakazi wa ndani kutowakabidhi watoto wao kwa watu wasiowafahamu.

 

10 years ago

Mwananchi

MAUAJI ALBINO: Albino: Adhabu ya kifo sawa

>Mbunge wa Lindi Mjini, Salum Barwany amemwomba Rais Jakaya Kikwete kusaini hukumu ya kunyongwa hadi kufa inayowakabili watu wanne waliopatikana na hatia ya kumuua mtu mwenye ulemavu wa ngozi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Albino Kaliua anusurika kutekwa

BINTI mwenye ulemavu wa ngozi (Albino), Kulwa Joseph (21), mkazi wa Kijiji cha Usonga Kata ya Silambo Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, ameponea chupuchupu kutekwa baada ya kuvamiwa katika makazi...

 

10 years ago

GPL

ANUSURIKA KIFO UBUNGO

Pikipiki iliyopata ajali ikiwa chini. Umati wa watu ukishuhudia ajali hiyo.
Daladala iliyojitolea kumsaidia…

 

10 years ago

GPL

MSUNGU ANUSURIKA KIFO


Stori: Gladness Mallya
MSANII wa filamu Bongo, Stanley Msungu ‘Senetor’ amenusurika kifo baada ya kupata ajali na gari lake kuharibika vibaya. Msanii wa filamu Bongo, Stanley Msungu ‘Senetor’. Akipiga stori na gazeti hili, Msungu alisema anamshukuru Mungu kwani ungekuta sasa hivi ni maiti kwani ajali ilikuwa ni mbaya maeneo ya Bondeni, jijini Dar akielekea nyumbani kwake Tegeta ambapo gari lake...

 

11 years ago

Habarileo

Lowassa anusurika kifo

ABIRIA kadhaa akiwemo Waziri Mkuu wa zamani ambaye kwa sasa ni Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, wamenusurika kufa baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria kupasuka matairi yote manne ya nyuma wakati ilipokuwa ikitua katika Uwanja wa Ndege wa Arusha uliopo eneo la Kisongo, jana mchana.

 

10 years ago

GPL

MAMA ANUSURIKA KIFO

Sehemu ya gari ilipogongwa. Pembeni ni uzio wa magari uliowekwa na kamapuni ya Strabag. Umati wa watu wakiwa eneo la ajali  MAMA mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja, amenusurika kifo baada ya gari lake aina…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbowe anusurika kifo ajalini

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akisafiria kutoka jijini Mwanza kwenda wilayani Ngara, Kagera kupata ajali. Ajali hiyo ilitokea jana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani