Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kumbe CCM ilipanga mapema kuhujumu BMK!

OKTOBA 8 mwaka huu, baada ya kukabidhiwa Katiba mpya inayopendekezwa na Bunge Maalum la Katiba (BMK) kutoka kwa Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta, Rais Jakaya Kikwete alifichua siri ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

CCM Mara yampongeza JK kuunga mkono BMK

MWENYEKITI wa CCM Mkoa wa Mara, Christopher Sanya, amempongeza Rais Jakaya Kikwete, kwa kitendo chake cha kuunga mkono Bunge Maalum la Katiba wakati wote lilipokuwa linaendelea.

 

11 years ago

GPL

KUMBE LOWASSA NI TISHIO CCM

Stori: Jelard Lucas na Makongoro Oging’
PATASHIKA nguo kuchanika ni kauli ya kibabe inayoweza kutumika kuelezea sakata la siasa za makundi ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM)  linaloshika kasi huku baadhi ya wanachama wakitupiana lawama kwa kuunga mkono upande fulani kuelekea mbio za urais hapo mwakani. Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Ngoyai Lowassa. Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili umebaini kuwa, waziri mkuu...

 

11 years ago

Mwananchi

Mbunge CCM atangaza mapema msimamo

Mbunge wa Viti Maalumu, Dk Prudenciana Kikwembe (CCM), ametangaza kufa na tai shingoni akiunga mkono msimamo wa Serikali mbili kwa maelezo kuwa ndilo suluhisho la migogoro ya wanyonge Tanzania.

 

11 years ago

Mwananchi

FALSAFA MBADALA: Waelimike mapema badala ya kuzaa mapema

Mimba kwa wasichana wadogo ni miongoni mwa sababu zinazowakatisha masomo wasichana wengi hapa Tanzania.

 

9 years ago

BBCSwahili

IAAF ilipanga njama kuficha wanariadha wadanganyifu

IAAF ilipanga kuchelewesha kutoboa majina ya wanariadhu wa Urusi waliokuwa wanatumia madawa ya kuongeza nguvu kabla ya mashindano ya riadha ya 2013

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ukishangaa ya BMK, utayaona ya Bunge la Jamhuri

USEMI wa ‘ukishangaa ya Musa, basi hujayaona ya Filauni’, umezoeleka sana, ndani yake unamaanisha yapo yaliyofanywa na Musa lakini pia yapo ya kuajabisha na kushangaza yaliyofanywa na Farao (Filauni). Katika...

 

10 years ago

GPL

UKAWA, MAANDAMANO, BMK KUSABABISHA VURUGU

Na MWANDISHI WETU
ZIPO dalili kuwa wito wa viongozi wa vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wa kutaka watu kuandamana nchi nzima na migomo isiyoisha, kwa shinikizo la kutaka kusitishwa kwa vikao vya Bunge Maalum la Katiba (BMK) kunaweza kusababisha vurugu zitakazowalazimu polisi kutumia mabomu ya kutoa machozi ili kuzidhibiti. Hali hiyo inatokana na mkanganyiko uliotokea baada ya kauli ya Mwenyekiti...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Washirikiana na wateja kuhujumu TANESCO


Clarence Chilumba, Masasi
UKOSEFU wa maadili, uaminifu na kuwapo kwa ubinafsi wa baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wilayani  Masasi, vimesababisha kushindwa kudai zaidi ya sh. bilioni moja kutoka kwa wateja. 
Hayo yalibainishwa na Meneja wa TANESCO Masasi, Basilius Kayombo, alipozungumza na Uhuru jana ofisini kwake, kuhusu oparesheni kata umeme kwa wateja sugu inayoendelea wilayani humo. 
Alisema ndani ya shirika kuna baadhi ya wafanyakazi wamekuwa wakifanya kazi kwa...

 

10 years ago

Habarileo

Mbaroni kwa kuhujumu BVR

MTU mmoja anashikiliwa na Polisi kwa kujifanya ni Ofisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) huku akidaiwa kushirikiana na watu wengine wasiohusika na uandikishaji katika Daftari la Kudumu la Wapigakura, kuhujumu mfumo wa mashine za BVR mkoani Mwanza.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani