Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Washirikiana na wateja kuhujumu TANESCO


Clarence Chilumba, Masasi
UKOSEFU wa maadili, uaminifu na kuwapo kwa ubinafsi wa baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wilayani  Masasi, vimesababisha kushindwa kudai zaidi ya sh. bilioni moja kutoka kwa wateja. 
Hayo yalibainishwa na Meneja wa TANESCO Masasi, Basilius Kayombo, alipozungumza na Uhuru jana ofisini kwake, kuhusu oparesheni kata umeme kwa wateja sugu inayoendelea wilayani humo. 
Alisema ndani ya shirika kuna baadhi ya wafanyakazi wamekuwa wakifanya kazi kwa...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

TANESCO wakanusha kuhujumu kampeni

Shirika la Umeme Nchini TANESCO limekanusha madai ya kukata umeme kwa makusudi ili kuhujumu kampeni za uchaguzi kwa baadhi ya vyama vya upinzani zisionekane na kusikika kupitia vituo mbalimbali vya luninga na redio.

Meneja Uhusiano wa shirika hilo Adrian Severin amesema kukatika kwa umeme huo kunatokana na mgao unaoendelea nchi nzima kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya gesi kwenda Gridi ya Taifa.

Akizungumza jijini Dar es salaam amesema, Tanesco inajiendesha kibiashara na haina mlengo...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

TANESCO kuboresha uhusiano na wateja



NA MOHAMMED ISSASHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO), limeanzisha utaratibu wa kukutana na wateja wake kwa lengo la kujenga uhusiano mzuri baina ya shirika na wateja hao. Kaimu Naibu Mkurugenzi Mtendaji, Usambazaji Huduma kwa Wateja wa TANESCO, Sophia Mjema, alisema utaratibu huo utaboresha uhusiano baina ya shirika na wateja pamoja na kuzipatia ufumbuzi changamoto zinazojitokeza. Alisema wameanza kukutana na wateja wakubwa na badae watakutana na wateja wa kati na wadogo ili kuongeza ufanisi...

 

10 years ago

Vijimambo

TANESCO YAKUBALI KUWEPO MADUDU KWENYE LUKU NI BAADA YA WATEJA KUWA KIZANI KWA SIKU 3

Shirika la Ugavi na Usambazaji wa Umeme nchini (TANESCO), limekiri kuwepo na matatizo ya mfumo wa kununua Lipa Umeme Kadiri Utumiavyo (LUKU), ulioanza Ijumaa jioni wiki iliyopita hadi jana na kuwa matatizo hayo yanatokana na mfumo wa kuuza umeme wa LUKU.Akizungumza na mwandishi jijini Dar es Salaam jana, Meneja Mawasiliano wa TANESCO, Adrian Shogholo alisema ni kweli kuwa tatizo hilo lipo na limetokana na mfumo wa manunuzi wa umeme wa LUKU.
“Ni kweli tunaomba radhi wateja wetu kwamba kuanzia...

 

9 years ago

BBCSwahili

Waumini washirikiana Tanzania

Tanzania ni mfano mzuri wa nchi ambzo waumini wake wa dini mbalimbali wamekuwa wakiishi kwa ushirikiano na mshikamano.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wasomali washirikiana vipi Cardif?

Kwa zaidi ya miaka 100, kumekuwa na jumuiya ya wasomali huko Cardiff - Zaidi ya vizazi vinne vinaiona Wales ni nyumbani.

 

10 years ago

Dewji Blog

Tigo yawatembeza wateja wake katika kituo cha huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter) katika kuhadhimisha wiki ya Huduma kwa wateja

IMG_5019

Wateja wakisikiliza mazungumzo mojakwamoja Baina ya mteja na muhudumu wetu katika kituo cha huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter)  IMG_5004 IMG_4911 Mkuu wa idara ya Huduma kwa wateja, Ndugu Zaeem Khan akikabidhi kadi za kipaumbele kwa wateja waliohudhuria hafla hiyo. IMG_5035 Wateja waliopata nafasi ya kutembelea kituo cha huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter) wakipata maelekezo kuhusu huduma za Tigo. picha 02 Picha ya pamoja ya Wafanyakazi  na wateja wa Tigo waliotembelea kituo cha Huduma kwa...

 

10 years ago

Habarileo

Mbaroni kwa kuhujumu BVR

MTU mmoja anashikiliwa na Polisi kwa kujifanya ni Ofisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) huku akidaiwa kushirikiana na watu wengine wasiohusika na uandikishaji katika Daftari la Kudumu la Wapigakura, kuhujumu mfumo wa mashine za BVR mkoani Mwanza.

 

9 years ago

Mwananchi

‘Acheni kuhujumu miundombinu ya reli’

Watanzania wameaswa kuvaa uzalendo na kuachana na tabia ya kuhujumu miundombinu ya reli.

 

11 years ago

Habarileo

Malawi, Tanzania washirikiana msiba wa Balozi

Marehemu Flossie ChiyaongaMAOFISA wa Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na wenzao wa Serikali ya Malawi, wameendelea na maandalizi msiba wa ghafla wa Balozi wa Malawi nchini, Flossie Chiyaonga.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani