TANESCO wakanusha kuhujumu kampeni
Shirika la Umeme Nchini TANESCO limekanusha madai ya kukata umeme kwa makusudi ili kuhujumu kampeni za uchaguzi kwa baadhi ya vyama vya upinzani zisionekane na kusikika kupitia vituo mbalimbali vya luninga na redio.
Meneja Uhusiano wa shirika hilo Adrian Severin amesema kukatika kwa umeme huo kunatokana na mgao unaoendelea nchi nzima kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya gesi kwenda Gridi ya Taifa.
Akizungumza jijini Dar es salaam amesema, Tanesco inajiendesha kibiashara na haina mlengo...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper28 Aug
Washirikiana na wateja kuhujumu TANESCO
Clarence Chilumba, Masasi
UKOSEFU wa maadili, uaminifu na kuwapo kwa ubinafsi wa baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wilayani Masasi, vimesababisha kushindwa kudai zaidi ya sh. bilioni moja kutoka kwa wateja.
Hayo yalibainishwa na Meneja wa TANESCO Masasi, Basilius Kayombo, alipozungumza na Uhuru jana ofisini kwake, kuhusu oparesheni kata umeme kwa wateja sugu inayoendelea wilayani humo.
Alisema ndani ya shirika kuna baadhi ya wafanyakazi wamekuwa wakifanya kazi kwa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-fF26g4OBHLg/XkkmSopY9BI/AAAAAAABzBM/njqcjJhMNq4-jgJtBWaXkEh2zOc_Qm6JQCLcBGAsYHQ/s72-c/ome2.jpg)
BAADA YA KUFIKISHA UMEME VIJIJINI TANESCO YAZIDISHA KAMPENI YA KUWAHAMASISHA WANAVIJIJI KUCHANGAMKIA FURSA HIYO
SHIRIKA la umeme Tanzania TANESCO kupitia idara ya masoko imeanza zoezi la kutoa elimu kwa wananchi wa wilaya na vijiji vya mkoa wa Tabora.Lengo la utoaji huo wa elimu ni kuwaelimisha wananchi wanaopitiwa na mradi wa REA awamu ya tatu(REAIII) kufahamu taratibu za kuunganishiwa umeme pamoja kuchangamkia fursa za mradi kabla hazijaisha. Miongoni mwa wilaya ambazo tayari zimepitiwa na na sasa ziko kenye zoezi hilo la kupatiwa elimu ni wilaya ya Uyui, Sikonge, na baadae zitafuatiwa na wilaya ya...
9 years ago
Mwananchi08 Sep
‘Acheni kuhujumu miundombinu ya reli’
10 years ago
Habarileo23 Jun
Mbaroni kwa kuhujumu BVR
MTU mmoja anashikiliwa na Polisi kwa kujifanya ni Ofisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) huku akidaiwa kushirikiana na watu wengine wasiohusika na uandikishaji katika Daftari la Kudumu la Wapigakura, kuhujumu mfumo wa mashine za BVR mkoani Mwanza.
10 years ago
Mwananchi17 Dec
Nec msiwatumie wanajeshi kuhujumu demokrasia
11 years ago
Tanzania Daima26 Jul
Mlebanoni kizimbani kwa kuhujumu uchumi
RAIA wa Lebanon, Mohamed Attwi (27), amepandiswa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam jana, akikabiliwa na mashitaka sita likiwemo la kuisababishia hasara ya zaidi ya...
10 years ago
StarTV25 May
PDP chalaumiwa kwa kuhujumu uchumi Nigeria.
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/05/19/150519111648_john_kerry_and_muhammadu_buhari_640x360_buharicampaign_nocredit.jpg)
Uongozi wa Muhamadu Buhari ambao utachukua madaraka siku ya ijumaa wiki hii unailaumu utawala wa Goodluck Jonathan kwa kuhujumu uchumi
Uongozi wa serikali mpya ya rais Muhamadu Buhari ambayo itaingia madarakani siku ya ijumaa wiki hii inaulaumu utawala unaondoka wa Goodluck Jonathan kwa kuhujumu taifa hilo lenye uchumi mkubwa zaidi barani Afrika.
Uongozi wa All Progressives Congress (APC) unailaumu utawala uliopoa sasa kwa ukosefu mkubwa wa mafuta ukosefu wa umeme na upungufu wa uzalishaji...
10 years ago
BBCSwahili25 May
Nigeria:PDP lawamani kwa kuhujumu uchumi
10 years ago
Tanzania Daima12 Oct
Kumbe CCM ilipanga mapema kuhujumu BMK!
OKTOBA 8 mwaka huu, baada ya kukabidhiwa Katiba mpya inayopendekezwa na Bunge Maalum la Katiba (BMK) kutoka kwa Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta, Rais Jakaya Kikwete alifichua siri ya...