Nec msiwatumie wanajeshi kuhujumu demokrasia
Tume ya Uchaguzi nchini chini Mwenyekiti wake Jaji Mstaafu Damian Lubuva imeendelea kusuasua juu ya kuweka mazingira yaliyo huru na ya haki kwa vyama vyote ili kuweza kuwa na ushindani ulio sawa katika uchaguzi mkuu ujao.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima09 Feb
NEC isimamie demokrasia
WAKATI leo baadhi ya Watanzania wanashiriki kupiga kura kwa ajili ya kupata madiwani katika kata 27 katika maeneo mbalimbali Tanzania Bara, ni vyema zoezi hilo likafanyika kwa ustaarabu na kuepuka...
9 years ago
Mwananchi08 Sep
‘Acheni kuhujumu miundombinu ya reli’
10 years ago
Habarileo23 Jun
Mbaroni kwa kuhujumu BVR
MTU mmoja anashikiliwa na Polisi kwa kujifanya ni Ofisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) huku akidaiwa kushirikiana na watu wengine wasiohusika na uandikishaji katika Daftari la Kudumu la Wapigakura, kuhujumu mfumo wa mashine za BVR mkoani Mwanza.
10 years ago
Uhuru Newspaper28 Aug
Washirikiana na wateja kuhujumu TANESCO
Clarence Chilumba, Masasi
UKOSEFU wa maadili, uaminifu na kuwapo kwa ubinafsi wa baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wilayani Masasi, vimesababisha kushindwa kudai zaidi ya sh. bilioni moja kutoka kwa wateja.
Hayo yalibainishwa na Meneja wa TANESCO Masasi, Basilius Kayombo, alipozungumza na Uhuru jana ofisini kwake, kuhusu oparesheni kata umeme kwa wateja sugu inayoendelea wilayani humo.
Alisema ndani ya shirika kuna baadhi ya wafanyakazi wamekuwa wakifanya kazi kwa...
9 years ago
StarTV01 Sep
TANESCO wakanusha kuhujumu kampeni
Shirika la Umeme Nchini TANESCO limekanusha madai ya kukata umeme kwa makusudi ili kuhujumu kampeni za uchaguzi kwa baadhi ya vyama vya upinzani zisionekane na kusikika kupitia vituo mbalimbali vya luninga na redio.
Meneja Uhusiano wa shirika hilo Adrian Severin amesema kukatika kwa umeme huo kunatokana na mgao unaoendelea nchi nzima kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya gesi kwenda Gridi ya Taifa.
Akizungumza jijini Dar es salaam amesema, Tanesco inajiendesha kibiashara na haina mlengo...
11 years ago
Tanzania Daima26 Jul
Mlebanoni kizimbani kwa kuhujumu uchumi
RAIA wa Lebanon, Mohamed Attwi (27), amepandiswa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam jana, akikabiliwa na mashitaka sita likiwemo la kuisababishia hasara ya zaidi ya...
10 years ago
Tanzania Daima12 Oct
Kumbe CCM ilipanga mapema kuhujumu BMK!
OKTOBA 8 mwaka huu, baada ya kukabidhiwa Katiba mpya inayopendekezwa na Bunge Maalum la Katiba (BMK) kutoka kwa Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta, Rais Jakaya Kikwete alifichua siri ya...
9 years ago
Mtanzania01 Oct
NCCR- Mageuzi watibua njama za kuhujumu Ukawa
Na Elias Msuya, Dar es Salaam
CHAMA cha NCCR Mageuzi kimetibua njama za kuuhujumu na kuufarakanisha Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) zilizolenga pia kusababisha mauaji kwa Mwenyekiti wake, James Mbatia.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mwenyekiti Mwenza wa Ukawa, James Mbatia aliyefuatana na viongozi wa juu wa chama hicho, alisema mkakati huo uliwahusisha makamishna wa chama hicho waliohudhuria pia mkutano huo, na uliratibiwa na Makamu mwenyekiti wa chama...