Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEC isimamie demokrasia

WAKATI leo baadhi ya Watanzania wanashiriki kupiga kura kwa ajili ya kupata madiwani katika kata 27 katika maeneo mbalimbali Tanzania Bara, ni vyema zoezi hilo likafanyika kwa ustaarabu na kuepuka...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Nec msiwatumie wanajeshi kuhujumu demokrasia

Tume  ya Uchaguzi nchini  chini  Mwenyekiti wake Jaji Mstaafu Damian Lubuva imeendelea  kusuasua juu ya kuweka mazingira yaliyo huru na ya haki kwa vyama vyote  ili kuweza kuwa na ushindani  ulio sawa katika uchaguzi mkuu ujao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Serikali isimamie sheria umiliki wa ardhi’

SERIKALI imetakiwa kusimamia sheria, taratibu na kanuni za umiliki wa ardhi ili kuondoa changamoto mbalimbali zinazoikabili sekta hiyo ikiwemo uvunjifu wa amani na umwagikaji wa damu. Mkurungezi wa Taasisi ya...

 

9 years ago

Mwananchi

MSD isimamie kwa dhati maduka ya dawa

Punde baada ya Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano, John Magufuli kuingia madarakani, aliagiza Bohari ya Dawa (MSD)  kufungua maduka ya dawa katika hospitali za Serikali za kanda na za rufaa.

 

11 years ago

BBCSwahili

A. Kusini:Miaka 20 ya demokrasia

Akihutubia taifa Rais Zuma alisema Afrika Kusini inaanza kupona vidonda vya historia ya ukatili na mgawanyiko na taratibu inajenga umoja wa taifa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM na ubakaji wa demokrasia

DODODMA, uliteuliwa mwaka 1972 kuwa makao makuu ya chama na serikali enzi za chama cha ukombozi; yaani, Tanganyika Africans National Union (TANU) na baadaye Chama Cha Mapinduzi (CCM). Tangu hapo,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Nkurunziza ajivunia kuleta demokrasia

Raia wa Burundi wanapiga kura leo katika uchaguzi wa rais uliojaa utata, miezi kadhaa baada ya jaribio lililokwama la mapinduzi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Demokrasia changa na dhana ya kuaminiana

SIKU chache zilizopita nilisoma katika gazeti moja la Kiswahili (sio Tanzania Daima) likimnukuu Mjumbe wa Baraza Kuu la CHADEMA, Profesa Mwesiga Baregu akitaja sababu kama tatu hivi ambazo zinaonekana kuitesa...

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa anajenga au anabomoa demokrasia?

Siyo siri ujio wa mwanasiasa mwenye staratejia kali za chinichini Edward Lowassa katika kambi ya upinzani, unaibua hisia tata. Je, ataijenga au kuibomoa demokrasia changa nchini?

 

10 years ago

Mwananchi

Amani, umoja na demokrasia vitawale

Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 zinaanza leo. Uchaguzi huu wa kuchagua madiwani, wabunge na rais unafanyika kwa mara ya tano tangu kuanza kwa vyama vingi mwaka 1992.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani