KUMBE LOWASSA NI TISHIO CCM
![](http://api.ning.com:80/files/mhrng7eeJg1s1PywYILgGyHEtCDp5qCUad5IM3peqjjerK3*UZj1ZE52wm*uXUbeU9HXbWKZ4Vfbw7Dl3jzODsOPEM7zrfH4/lowassa.jpg?width=650)
Stori: Jelard Lucas na Makongoro Oging’ PATASHIKA nguo kuchanika ni kauli ya kibabe inayoweza kutumika kuelezea sakata la siasa za makundi ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) linaloshika kasi huku baadhi ya wanachama wakitupiana lawama kwa kuunga mkono upande fulani kuelekea mbio za urais hapo mwakani. Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Ngoyai Lowassa. Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili umebaini kuwa, waziri mkuu...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima12 Oct
Kumbe CCM ilipanga mapema kuhujumu BMK!
OKTOBA 8 mwaka huu, baada ya kukabidhiwa Katiba mpya inayopendekezwa na Bunge Maalum la Katiba (BMK) kutoka kwa Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta, Rais Jakaya Kikwete alifichua siri ya...
9 years ago
Vijimambo07 Sep
LOWASSA AZUA SINTOFAHAMU BAADA YA KUSEMA CCM OYEE KWENYE MKUTANO WA UKAWA MSINDAI NAE NI KAMA LOWASSA JITIRIRIKIE MWENYEWE
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2860850/highRes/1112336/-/maxw/600/-/r63lu6z/-/lowasa_akilini.jpg)
Tabora/Manyoni/Dar. Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa jana alizua sintofahamu baada ya kusema; “CCM oyee”, kauli iliyowafanya wananchi hao kukaa...
9 years ago
TheCitizen09 Sep
CCM : Task Lowassa
11 years ago
Tanzania Daima04 Jan
Lowassa aitesa CCM
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeunda timu ya kuwachunguza makada wake wanaodaiwa kutangaza nia ya kuwania uongozi kabla ya wakati, na wanaomwaga fedha kwa wajumbe wa mkutano mkuu ili kuwashawishi wawaunge...
9 years ago
Mwananchi07 Sep
CCM haijamtoka Lowassa akilini
10 years ago
Mwananchi11 Jul
9 years ago
Mwananchi04 Jan
CCM yamjia juu Lowassa
10 years ago
Mwananchi26 May
Lowassa: Asiyenipenda CCM ahame
10 years ago
Habarileo30 Jul
‘CCM imara bila Lowassa’
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema aliyekuwa kada wake, Edward Lowassa aliingia katika chama hicho kwa ridhaa yake bila kushurutishwa hivyo ana haki ya kuhamia chama kingine, huku kikisisitiza kuwa kitashinda Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu na kuendelea kuongoza Dola.