KUMBUKUMBU YA BIBI THEOPHILO NCHIMBI
FAMILIA YA DEOGRATIUS MICHAEL NCHIMBI YA KIMARA DAR ES SALAAM TANZANIAINAKUKUMBUKA MAMA KWA UPENDO WAKO MWINGI ULIOKUWA NAO HAWATAKUSAHU DAIMA WANAKUOMBEA:BWANA ALITOA NA BWANA ALITWAA JINA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE AMEEN
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo27 Jul
Kati ya mambo ninayomkubali zaidi Dr Slaa ni KUMBUKUMBU. Jamaa ana kumbukumbu sana.
Afikirie "uchafu" wote waliosema Lowassa anao, bado aonekane "msafi kuwakilisha chama kuliko yeye"Ni hapo unapotamani uwe na SELECTIVE AMNESIASijui kuna sauti ngapi kichwani mwake sasa?Na sijui kama kuna inayomuasa kufanya "maamuzi magumu"?:
SOURCE.:.MUBELWA BANDIO
10 years ago
Tanzania Daima20 Aug
Dk. Nchimbi kumrithi Mwigulu
MWELEKEO mpya wa mchakato wa Katiba mpya, adhabu kwa wagombea walioanza mbio za kusaka urais unatarajia unatarajia kujulikana leo baada ya kumalizika kwa kikao cha Kamati Kuu (CC), ya Chama...
11 years ago
Tanzania Daima22 Jul
Dk. Nchimbi aishukia Duwasa
MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Dk. Rehema Nchimbi, ametoa wiki moja kwa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira mjini Dodoma (Duwasa), kung’oa mara moja mifumo ya maji isiyotakiwa...
9 years ago
Habarileo12 Nov
Sitta, Nchimbi rasmi Uspika
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeanza kutoa fomu kwa wanachama wake kwa ajili ya kuomba kuteuliwa kugombea nafasi ya Spika na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, na katika siku ya kwanza wanachama tisa wamejitokeza akiwemo Spika wa zamani, Samuel Sitta.
11 years ago
Mwananchi03 Feb
Dk Nchimbi aeleza sababu za kuwajibika
10 years ago
Mwananchi13 Jul
Dk Nchimbi: Tumemkubali Dk John Magufuli
9 years ago
Mwananchi14 Oct
Dk Nchimbi awananga wanaobeza uteuzi wa Ma - DC
9 years ago
Habarileo17 Aug
Nchimbi avunja ukimya CCM
MMOJA wa makada wa CCM aliyewania kuteuliwa na chama hicho kuwania Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, Dk John Nchimbi, ameibuka na kudai kuwa, hana kinyongo na yaliyotokea Dodoma huku akionesha kuwashangaa wanaoendelea kunung’unika, akisema watu wa aina hiyo hawakuwa pamoja na chama.
11 years ago
Habarileo27 Mar
Nchimbi aonya wabunge wenzake
BAADHI ya wajumbe wa Bunge la Maalum la Katiba, wametaka wenzao kujitika katika mchakato wa mjadala wa rasimu ya Katiba mpya, itakayozingatia maslahi ya taifa na kuwanufaisha Watanzania badala kujitazama.