Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sitta, Nchimbi rasmi Uspika

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeanza kutoa fomu kwa wanachama wake kwa ajili ya kuomba kuteuliwa kugombea nafasi ya Spika na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, na katika siku ya kwanza wanachama tisa wamejitokeza akiwemo Spika wa zamani, Samuel Sitta.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Sitta aenguliwa uspika

Kamati Kuu ya CCM imemwengua Spika wa Bunge la Tisa, Samuel Sitta kwenye kinyang’anyiro cha kuwania uspika na kuteua majina matatu likiwamo la Naibu Spika wa Bunge la 10, Job Ndugai.

 

9 years ago

Mwananchi

Sitta, Zungu kuvaana uspika

Wakati Bunge la Kumi na Moja likitarajiwa kuanza vikao vyake wiki ijayo mjini Dodoma, Samuel Sitta  na Anne Makinda, waliokalia kiti cha Spika wa mabunge mawili yaliyopita, wanatajwa kuwamo kwenye mchuano mwingine wa kuwania nafasi hiyo ya kuongoza chombo hicho cha kutunga sheria.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nchimbi mgeni rasmi Tamasha la Pasaka Songea

ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Emmanuel Nchimbi, anatarajia kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Pasaka linalotarajia kufanyika Aprili 26 mjini Songea mkoani Ruvuma. Mwenyekiti wa Kamati ya...

 

9 years ago

Habarileo

Ni Ndugai, wengine 7 uspika

UCHAGUZI wa Spika wa Bunge la Tanzania unatarajiwa kufanyika leo ambapo wagombea wanane kutoka vyama tofauti wamejitosa kuwania nafasi hiyo katika Bunge la 11 linalotarajiwa kuanza leo mjini hapa.

 

9 years ago

Mtanzania

Makinda aukimbia uspika

1126*Aingia mitini dakika za mwisho licha ya kampeni

*Mpambano mkali kwa Sitta, Nchimbi, Ndugai

 

Na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam

VITA ya kuwania uspika wa Bunge, imepamba moto huku Spika anayemaliza muda wake Anne Makinda, akishindwa kuchukua fomu kwa ajili ya kuwania nafasi hiyo, tofauti na ilivyotarajiwa.

Habari zilizolifikia MTANZANIA jana jioni zinaeleza kuwa, Makinda ameshindwa kuchukua fomu kutokana na ushauri aliopata kutoka kwa watu wake wa karibu wakiwamo makada wenye heshima...

 

9 years ago

CCM Blog

FOMU ZA USPIKA ZAANZA KUTOLEWA


Fomu Za Kuomba Uspika Na Naibu - 11.11.2015

 

9 years ago

Mwananchi

Anayetaka uspika ruksa - CCM

Wakati makada wa CCM, wakionyesha nia ya ‘kimya kimya’ kuwania nafasi ya kiti cha Spika wa Bunge la 11, chama hicho kimesema anayetaka nafasi hiyo ruksa kujipitisha kwa wabunge kuomba kura.

 

9 years ago

Michuzi

WAANZA KUCHUKUA FOMU ZA USPIKA

Hawa ndio waliojitokeza mpaka sasa kuchukua fomu Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba ;Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta, aliyekuwa mbunge wa Karagwe,Gosbert Blandes,Leonce Mulenda, George Nangale na Profesa Costa Mahalu, Muzamil Kalokola, Banda Sonoko,Simon Rubugu.  Aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta akisaini kitabu cha wageni kabla ya kuchukua fomu za kuwania uspika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mbele ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani