Sitta, Zungu kuvaana uspika
Wakati Bunge la Kumi na Moja likitarajiwa kuanza vikao vyake wiki ijayo mjini Dodoma, Samuel Sitta na Anne Makinda, waliokalia kiti cha Spika wa mabunge mawili yaliyopita, wanatajwa kuwamo kwenye mchuano mwingine wa kuwania nafasi hiyo ya kuongoza chombo hicho cha kutunga sheria.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi16 Nov
Sitta aenguliwa uspika
9 years ago
Habarileo12 Nov
Sitta, Nchimbi rasmi Uspika
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeanza kutoa fomu kwa wanachama wake kwa ajili ya kuomba kuteuliwa kugombea nafasi ya Spika na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, na katika siku ya kwanza wanachama tisa wamejitokeza akiwemo Spika wa zamani, Samuel Sitta.
11 years ago
BBCSwahili24 Jun
Uholanzi kuvaana na Mexico
11 years ago
BBCSwahili01 Jul
Ufaransa kuvaana na Ujerumani
9 years ago
BBCSwahili23 Oct
Arsenal kuvaana na Everton
10 years ago
BBCSwahili29 Aug
10 years ago
BBCSwahili31 Mar
Ndugu kuvaana fainali za Tennis,Marekani
9 years ago
Mtanzania04 Sep
Azam kuvaana na Ruvu Shooting leo
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
MABINGWA wa Kombe la Kagame, Azam FC, leo wanatarajia kufunga ratiba zao za mechi za kirafiki kwa kujipima tena na wanajeshi timu ya Ruvu Shooting, mchezo utakaochezwa Uwanja wa Chamazi, Dar es Salaam.
Hivi karibuni Azam ilipokea kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya JKT Ruvu na kuvurugiwa rekodi ya kutokufungwa bao hata moja ndani ya dakika 90 katika michuani ya Kagame.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Ofisa Habari wa klabu hiyo, Jaffari Idd, alisema mchezo huo...
10 years ago
BBCSwahili27 Mar
Matumla kuvaana na Wang Xin Hua