Kumbukumbu ya marehemu Lucy F. Njeama
![](http://1.bp.blogspot.com/-kE30Jq3IerE/U7eysYHOvXI/AAAAAAAFvJM/iCTCLCJppGA/s72-c/unnamed+(68).jpg)
Mpendwa wetu LUCY FIDELIS NJEAMA, Leo yapata miaka mitatu tangu siku ulipotutoka,lakini yaonekana kama ni Jana tu kwa jinsi ulivyotushiba. Unakumbukwa sana na mume wako, wanao Glory, Glady na Gallya, wazazi wako,dada na kaka zako na ndugu na Jamaa wote waliokupenda. Daima utabakia mioyoni mwetu tukikukumbuka kwa sala na maombi. Twamuomba Mungu akupokee katika ufalme wake, AMEN.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-nXQbyvqutWA/VB_U6keuUAI/AAAAAAAGk6M/T-a-jMNs5H0/s72-c/4.jpg)
KUMBUKUMBU YA MAREHEMU BAKARI .M. NYAMBI
![](http://4.bp.blogspot.com/-nXQbyvqutWA/VB_U6keuUAI/AAAAAAAGk6M/T-a-jMNs5H0/s1600/4.jpg)
Tulimpenda sana hila Mungu alimpenda zaidi (‘TUKUMBUKE MANENO WANAYOTUELEZA WAZAZI KWANI YANA FAIDA KWA MAISHA YA BAADAE HASA...
11 years ago
MichuziKumbukumbu ya Marehemu Saidaty Mfilinge
10 years ago
MichuziKUMBUKUMBU YA Marehemu ULLY HARUN KIWANGA
11 years ago
Dewji Blog17 Apr
Kumbukumbu ya miaka 6 ya marehemu Anthony Saimon Njeje
Marehemu Anthony Simon Njeje Enzi za uhai wake.
Ni miaka Sita sasa imepita tangu ulipo enda kwenye makao ya kudumu.Hatupo nawe kimwili lakini kiroho upo nasi daima. Tunakukumbuka sana Baba yetu Mpendwa. Unakumbukwa sana na Mke wako Mpendwa Mama Elizabeth Anthony Njeje, Wanao Aninziye, Luseshelo-Ernest, Fredy na Sarah. Wajukuu zako Anthony Jr, Shikunzi-Alvin, Amarisa na Yasinta, Pia unakumbukwa na wafanyakazi wenzako wote wa Benki, majirani zako, waumini wenzako, ndugu Jamaa na Marafiki....
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-WrE8E2i2zD8/VVtTKZsdI6I/AAAAAAADnuU/SqGnjA2xr4Q/s72-c/g1Collage.jpg)
Misa ya kumbukumbu ya Marehemu Michael Ndaskoi Mlingi .
![](http://4.bp.blogspot.com/-WrE8E2i2zD8/VVtTKZsdI6I/AAAAAAADnuU/SqGnjA2xr4Q/s640/g1Collage.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-azVt4_axlpo/VVtSyh_3lNI/AAAAAAADnsc/xT6dOyUy2ko/s640/IMG_1090.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-FgKLZfKcTI4/VVtS7rgzyeI/AAAAAAADntE/42JKoqsPczA/s640/IMG_1160.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-zKUTSZHy7U8/VVtS_UQJjzI/AAAAAAADntM/aVfvpGyGhmk/s640/IMG_1185.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-8LL14QDgINY/VVtS_tJ-fbI/AAAAAAADntQ/DLZkYh0rYzQ/s640/IMG_1231.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-iz3tFjjXnpU/VUdlKYVcCNI/AAAAAAAHVKw/-oL36f3D0uY/s72-c/rt.png)
KUMBUKUMBU YA MAREHEMU MWALIMU NOVATI SIMEON RUTAGERUKA
![](http://1.bp.blogspot.com/-iz3tFjjXnpU/VUdlKYVcCNI/AAAAAAAHVKw/-oL36f3D0uY/s400/rt.png)
TAREHE 5 - MEI - 2015, UMETIMIZA MIAKA MITANO TANGU MWENYEZI MUNGU ALIPOKUTWAA TOKA HAPA DUNIANI. PAMOJA NA KWAMBA KIMWILI HAUPO NASI, KIROHO TUNAKUKUMBUKA DAIMA.
UNAKUMBUKWA DAIMA NA WATOTO WAKO FLORIDA, ILLUMINATA, LIBERATA, DUNSTAN, JOYCE NA EDWIN PAMOJA NA WAKWE, WAJUKUU, NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI.
IBADA YA MISA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU MWALIMU RUTAGERUKA ITAADHIMISHWA SIKU YA JUMANNE TAREHE 5 - MEI - 2015, KATIKA KANISA LA MTAKATIFU JOSEPH, DAR-ES-SALAAM, SAA 11.30 JIONI.
BWANA ALITOA,...
11 years ago
Dewji Blog25 Apr
Kumbukumbu ya Marehemu Joachim Bwanampini Lebabu Kirambata
KUZALIWA 02/02/1945 KUFA 04/05/2013
TAREHE 04/05/2014 UMETIMIA MWAKA MMOJA KAMILI TANGU
MWENYEZI MUNGU AKUITE.
ILIKUWA SIKU YA MAJONZI MAKUU KATIKA FAMILIA YETU.
KIFO KILITOKEA KATIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI DSM.
UNAKUMBUKWA SANA NA FAMILIA YAKO, MKE WAKO BI MARY KIRAMBATA, WATOTO WAKO LILIAN, JOSEPH, FILBERT, FLORENSO, FLORA, JANUARY, OCTAVIAN WAKWE ZAKO ENGELBERT, VIRGINIA, & DEVOTHA WAJUKUU ZAKO CELINE, MARYANNE, MELISA, ROSE, HENRICK, FLORENCE & JEREMIA NDUGU JAMAA...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-FGJhl05wauY/U4HdZAK5SaI/AAAAAAAADpA/hMUqy3gHdo0/s72-c/MKsDad.jpg)
9 years ago
MichuziIBADA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU GODFREY MNGODO, COLUMBUS, OHIO